RUSHWA YA NGONO: Ni kwa wanawake pekee?

RUSHWA YA NGONO: Ni kwa wanawake pekee?

diunal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
498
Reaction score
70
Mara nyingi sana kumekuwa na malalamiko kutoka kwa kundi la upande mmoja kuwa wanaoombwa rushwa ya ngono ni wakike,Hivi hii kitu kwa wa- jinsia ya kiume haipo, au ndio wanakufa kiume bila kulalamika?
 
Wanawake hawaombagi direct wao wanajisogeza taratibu tu sasa ndo mpaka ujue kama anataka rushwa ya ngono
 
Inamaana wanaume pekee ndo wanapenda hiyo kitu!
 
Wanawake hawaombagi direct wao wanajisogeza taratibu tu sasa ndo mpaka ujue kama anataka rushwa ya ngono

Mmh, inaweza fkr mmaza anakuta af ukiingiza miguu tu imekula kwako
 
Wanaume tunapenda sana kuchovya chovya hasa kwa mipira iliyo kufa (deadball), si kama kina mama ni wanawake wachache wanaofanya mapenzi bila mpangilio eti kwa starehe tu labda awe anatafuta pesa. lakini kwa mwanaume wengi hata kila siku inawezekana mradi upatikanaji ni rahisi. ndiyo maana kesi za kuomba rushwa ya ngono ni nyingi kwa wanaume na si kwa wanawake.
 
wanaume wanachukulia poa ukizingatia ndo kaz yao waipendayo, ila kunawengine hawataki pia kusema pengine nifedheha
 
wanaume wanachukulia poa ukizingatia ndo kaz yao waipendayo, ila kunawengine hawataki pia kusema pengine nifedheha

Kwahiyo baadhi ya midume wengine wakiombwa rushwa ya ngono wanaona "ujiko" ku - do na mmaza Boss, na kwamba mambo yatakuwa juu ya mstaru
 
hata wamama wanaomba hasa baada ya kuingia kibaruani...
 
mwaka jana niliombwa rushwa na jimama kwenye kampuni flani, nikagoma thanks God nilipata kwingine na nkaacha pia, sahv nimejiajiri
 
mwaka jana niliombwa rushwa na jimama kwenye kampuni flani, nikagoma thanks God nilipata kwingine na nkaacha pia, sahv nimejiajiri

Afadhali;mingine haina nia njena
 
Wanawake hawaombagi direct wao wanajisogeza taratibu tu sasa ndo mpaka ujue kama anataka rushwa ya ngono[/QUOT
Vibinti ndo hatarri zaidi kwa rushwa ya ngono, hubembelezea ili vipate priority against others, ngono kwao ndo mafanikio
 
Kujilengesha ni ujinga tu! Na ndo maana hzo priorities zinashusha hata ufanisi ktk maeneo mengi ya kaz
 
Wanaume tunapenda sana kuchovya chovya hasa kwa mipira iliyo kufa (deadball), si kama kina mama ni wanawake wachache wanaofanya mapenzi bila mpangilio eti kwa starehe tu labda awe anatafuta pesa. lakini kwa mwanaume wengi hata kila siku inawezekana mradi upatikanaji ni rahisi. ndiyo maana kesi za kuomba rushwa ya ngono ni nyingi kwa wanaume na si kwa wanawake.

Ha ha ha Gamaha mambo ya dead ball kama kumsukuma mlevi utelezini sio. He he he.
 
kumbuka
  • ther are fewer female bosses, so cases za wanaume kuombwa rushwa za ngono ni chache zaidi
  • wanawake wengi 'wanaona aibu' kudai sex. lol
  • wanaume hawasusi 'chakula' kinachojileta chenyewe. sisi tunaona kuongeza CV kwa kutembea na bosi 🙂
 
ila wanawake ni wahanga wa hili. mungu atusaidie kwakweli.
 
yaani kama mie ni askari af kijana ukaja kituoni kuripoti umeombwa rushwa ya ngono, nakusweka lupango wiki tisa ili uache ujinga
 
Back
Top Bottom