Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Habari zenu ndugu zangu,
Naomba mnishauri cha kufanya.Mimi kwa jinsia ni male mwenye miaka 26,nina mpenzi wangu ambae tunaishi mikoa tofauti.
Kuna kipindi kama wiki mbili zilizopita tuligombana ila baadae tukaweka mambo sawa.
Kilichonifanya nije kwenu kuomba msaada wa mawazo ni kwamba,imekua kila siku sisi ni watu wa kukorofishana tu bila sababu za maana na kuombana msamaha.
Jana usiku penyewe tumegombana,chanzo cha ugomvi ni cha kijinga tu,nilimpgia simu mida ya saa mbili usiku hakupokea badala yake akakata simu na kunitumia ujumbe kuwa yuko na mama yake.
Ila sijui mie nilihisi kama anandanganya vile nkaanzsha ugomvi.
Hapa tulipo tumechuniana tena tangu jana usiku,
Kiukweli siwezi mhukumu vibaya huyu mtoto wa watu kuwa labda ananisaliti huko alipo,nimemchunguza sana sijawahi kuona dalili ya kama ana mtu mwngne.
Na mara zote mie ndo nimekua nikianzisha ugomvi.sasa nilikua naomba mnisaidie mbimu ambazo zitaweza kunifanya niishi na huyu mpenzi wangu kwa amani siku zote kwani nampenda sana na huwa naumia sana vile ambavyo tunakua tunagombana gombana bila sababu za msingi.
Natanguliza shukrani.