Nataka Girlfriend

Nataka Girlfriend

uwemba1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
987
Reaction score
718
Natamani kuwa na mrembo wa kishare naye shida na raha. Awe tayari kupima HIV, awe na kazi yake maana kibarua changu kamshahara kadogo sana japo si kama nataka anilee bali asitarajie makubwa toka kwangu bali mapenzi ya dhati. Asiwe mpenda makuu kama kujirusha kupitiliza, apende kujishughulisha, umri wowote chini ya 35 ni pm tujuane zaidi. Nipo Dsm
 
Unazifahamu shida na raha kwenye mahusiano au unaongea tuu !!!??Anyway watajitokeza usijali
 
Natamani kuwa na mrembo wa kishare naye shida na raha. Awe tayari kupima HIV, awe na kazi yake maana kibarua changu kamshahara kadogo sana japo si kama nataka anilee bali asitarajie makubwa toka kwangu bali mapenzi ya dhati. Asiwe mpenda makuu kama kujirusha kupitiliza, apende kujishughulisha, umri wowote chini ya 35 ni pm tujuane zaidi. Nipo Dsm
pole mkuu..
dah.. unajua kila binadam kaumbiwa matatizo!
 
mtafute DARESCORT ni dalali, anaweza kukusaidia
 
Last edited by a moderator:
mh!unataka girlfriend??as if una uhakika ulimwacha humu ila sawa mkuu ngoja aje unaemtaka.
 
mh!unataka girlfriend??as if una uhakika ulimwacha humu ila sawa mkuu ngoja aje unaemtaka.
hebu wacha kuongea ivo bana!

kibuz wako Window7 yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ulimpa eeh...? Ngoja nichukue postmotam zitanipa jibu kamili
:rain:

bebi umerudi jamani kwani bunge la nanihii limeisha?nipe nafasi kwani na we si unajivinjari na watoto wa chuo jamani eh!
 
hahaha mzee wa chaboo na mie natega namba 202 ngoma droo:biggrin:
hahahaaa!! we njoo, nisipotosheka nakuunganisha na wewe kulaleki! ukilia nakuziba mdomo na nanii! hahaaaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom