Habari zenu wanajamvi!
Wagonjwa nawapa pole na wale wote tuliokwazwa na maneno ya Mwigulu Nchemba tuvumilie tu huyu jamaa akili zake zinamtosha mwenyewe kama akili zangu zinavyonitosha mwenyewe...
Wana bodi niwasalimu...
Nimeonelea nipate mawazo tofauti na mimi nnavyofikiri kuhusu mahali kwa mara ya kwanza umeonana na mpenzi wako,
As to me naamini kuna maeneo kama club,kwenye daladala,bar...
Hello my dear brothers and sisters! I hope you are doing great, I have been receiving texts through my Facebook account like "My name is ......, i saw your profile today at /facebook.com/ and...
Ilianza kama utani kutumiana message za kirafiki,kuchekeshana hadi leo ninavyoandika hivi.
Mwaka jana ilitokea nimetokea kumpenda mkaka ambaye tulikua marafiki na alikua ananishauri kwenye mambo...
Naombeni ushauri wandugu. Sijajaliwa kupata mtoto, lakini mume wangu amejaliwa watoto wa nje kibao.
Natamani na mimi kuasili mtoto mume wangu kakataa katakata.
Nishaurini jamani kwani mawazo...
Mmoja wa wenye hikma alisema:
Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua...!
"Mwenye kupoteza penzi la mwanamke muaminifu...
Ladies…
1. Never depend on your boyfriend like he is your
father, show him that before he met you, you were comfortable and without him you can still be
comfortable.
2. Do not detest...
Habari zenu watumiaji wa JF wenzangu?
Tupeane uzoefu kama ishawahi kukutokea, kwa wale tuliojaliwa kuishi na Mama.
Mama anaomba kurudishiwa gharama zake anazotumia juu yangu, mf: kanitumia kitu...
Habari wa MMU,gf wangu kanipia cm kua eti kakutana na my x na kumpatia zawadi aniletee..lkn anataka kufuingua aiangalie..je nimruhusu?na huyu gf wang wa sasa ana wivu sana..Ushauri pl
Gesti hausi zibadilishwe majina ziitwe nyumba za wenyeji manake watumiaji asilimia 90 ni wenyeji Halafu na rejista nayo ibadilishwe yani haiwezekani kabisa mtu ajaze hivi;
Jina lako kamili: Mhina...
Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe...
nimeenda kanisani na furaha ile kuingia tu! namuona mpenzi wangu alieniacha kipindi kama hiki hiki mwaka jana. moyo umekufa ganzi miguu imenilegea na akili yangu imevurugika na hata kwa bahati...
Naomba kuelewa mchango wa nyakati katika uadilifu kwenye ndoa na mahusino?. Kwa upande wandu kama mwana mapinduzi wa kifikra ninaamini kuwa mapenzi ya zama zile za mababu na mabibi zetu...
Jamaa yangu kaja nimshauri lkn nimeshindwa naomba msaada wenu Tatizo lenyewe nikwamba jamaa anapokuwa na demu anakuwa na mzuka sana wa kugonga na akigonga kagoli kamoja tu mashine...
Habari zenu Wanajamii.
Kwa jina naitwa Rashid Ali Nyakunga,ni mwenyeji wa Tanga,nilizaliwa miaka 28 iliyopita katika familia ya watoto 5.nimebahatika kupata elimu ya Digrii ya kwanza katika Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.