Je ni sawa kumweleza demu wako wa zamani kwamba umeoa?
Nilikuwa na mwanamke mmoja nilizaa nae, ila sikuwahi kumwambi kama nitamuoa, ila yeye alikuwa na matarajio ya kuolewa na mimi, nikapata mke mwingine ambae ndiye aliyekuwa chaguo langu, mke huyo baada ya kujua nina demu ambae nilizaa nae ila yuko bara huko.
Mke alinishauri nimpigie nimweleze kwamba nimeoa, kweli nilimpigia nikamwambia kwamba nimeoa.. Alichukia sana, kwani alikuwa na matarajio ya mimi kumuoa...lakini hakua chagu langu...
Baada ya kufunga ndoa na yule nimpendae, yule dada alienda kwa sangoma ili kuharibu uhusiano wetu...
Ndoa yetu haina amani tena, tumekaa uchumba miaka 4 kulikuwa hakuna tatizo,
niliamfanyia uchunguzi yule dada akakiri kweli alienda kwa sangoma...
Swali langu,je ilikuwa sawa kwa mke wangu kusema nimpigie simu nimweleze kwamba nimeoa?
Nb: matunzo ya mtoto nilikuwa nampa kila mwezi 50000/=!
Nikimwambia mke wangu kwamba yeye ndo alisababisha mpaka yule dada akafanya mambo mabaya anakasirika...
NAOMBENI USHAURI