Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
Ni mpita njia kesho atapata mwingine wakati wewe ungalipo, angalia asikuumize kwakuwa hatokuwa nawe milele ni mwizi wa mapenzi leo yuko na yule kesho yuko na cheupe keshokutwa yuko na jimama ni laghai tapeli wa mapenzi atakuvuruga atakuharibia ataondoka na furaha na tumaini lako kuwa makini na mpita njia mwizi wa mapenzi.
TCHAOOO....!!!
TCHAOOO....!!!