upungufu wa hisia za kimapenzi

upungufu wa hisia za kimapenzi

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
watu wengi wakiona hawawezi kupiga game sawasawa anakimbilia kumeza madawa ya kuongeza nguvu za kiume akiamini nguvu zimepungua....

binafsi imewahi kunitokea several times hii hali,ila baada ya karesearch chenye sampling ya kushiba nikagundua ni tatizo hasa kwa kipindi iki...

sitaki kuongea sababu zinazochangia,,mzee wangu MziziMkavu do u have any input on this?unanitibuje upungufu wa hisia za mapenzi?

pengine nikilala na mtu fulani nakua hot sana nikirud hom ngoma jii.......apa tunafanyaje?

hili linawakumba sana watu wengi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom