Kwa wanandoa hii ni adhabu?

Kwa wanandoa hii ni adhabu?

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
jamaa amaeoa takribani miaka miwili iliyopita,kwa bahati wote ni wafanyakazi sekta binafsi...wamebahatika kupata mtoto mmoja sasa....

sasa basi ,jamaa anakitoyota chake kila asubuhi anakiwasha wanaelekea jobu na mamsapu pembeni...Gari si unaju alazima ipite shell??jamaa bajet ya mafuta mwez mzima ni juu yake!!

akimshusha kazini kwake bimkubwa haishi mara nipe ef 5 ya lunch nk nk...badae naomba nitumie vocha duka lipo mbali haya anatuma!!

jioni the same apitiwe,,oooh beby leo nna hamu ya samaki wa kupaka satoo,ooh kuku wa kienyeji!!jamaa anunue!!!

ela ya bibie haionekani!!na jamaa wanaishi poa tu ila amenisimulia tu kuyajua y andoa yalivyo....

jamani!!!mbona nimeogopa??

Ndivyo ilivyo? sasa zake ziende wapi? kwa kweli nitaendelea kuwagegedua tu
 
Hii ni story ya kufikirika.... ukiwa mkubwa ukaoa ukawa na familia yako hutaleta story kama hizi jamvini
Tunaojua maana ya ndoa tunaenjoy mno ndo maana mishavu inakuwa dodo kaa paka wa bar nyie bakini hivyohivyo na stori zenu za kuliwazana
 
Usiogope, mi nilifiliri mke anachepuka. (dah lakini mpaka vocha)
Ndoa zina mambo mengi wengine misingi yao ni pesa, wengine ni kugegedana, wengine elimu na wengine upendo tupo tofauti na ndoa zetu zipo/zitakuwa tofauti.
 
That's the theory behind being a man! Ni wajibu hutakiwi kulalamika ila unaelewa tu huyo demu ubinafsi umezidi kama hujaoa bado akili kumkichwa
 
We mchepuko unaogopa kisa hela ya mume tu ndio inaliwa? Unaowagegeda wao wanagharamika kwako?

Nwy. . .mtu mbinafsi ni mbinafsi tu awe ndani au nje ya ndoa. Na mwenye roho ya kutoa sio lazima awe nazo nyingi. Kidogo hicho hicho na yeye atatoa na mwenzie afaidi. Siku moja amwambie mke wake kasahau wallet aone itakuwaje.
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni matatizo binafsi ya mwanamke na si wote wako hivyo,ukimchunguza sana huenda ukakuta ana tabia nyingine ya uchoyo ila mwambie amuambie ukweli kulalama humu haisaidii!
 
Wajibu wa kutunza familia pamoja na mke ni wa MWANAUME. Hili halina ubishi. Lakini upatapo mke aliyefundwa vizuri na mcha-Mungu kamwe hawezi kukubebesha zigo lote mume wake mpendwa. Atakusaidia kwa njia moja ama nyingine kubeba majukumu ya familia hata kama sio 50% kwa 50%. Wanawake wenye hekima husoma nyakati ili kulinda heshima ya waume wao na familia zao.

Ubinafsi ni tabia tu, iwe kwa mwanaume au mwanamke. Kuna wanaume wengi tu ambao wanakimbia majukumu yao ya kifamilia na kuwaacha wake zao wakibeba gharama zote za kutunza familia. A relationship is a two way street, it should be mutual and reciprocal. Na maisha ni kama WWE ili kuyashinda lazima uwe na tag team na mume/mke ajue when to tap out and/or get into the ring.

Heshima ya mwanaume sio kuvua zipu au kujipiga kifua tu kwani hata sokwe hufundishwa kufanya hivyo.
 
Sio wanawake wote ndugu. Inategemea jinsi mlivoanza mahusiano yenu yaani jinsi alivomzoesha kuwa tegemezi kwa kujifanya yeye ana mafaranga mengi. Inatakiwa tangu mwanzo wa uhusiano wenu mjizoeze kushirikiana katika kuchangia gharama zenu maana ni kwa faida yenu wote.
 
jamaa amaeoa takribani miaka miwili iliyopita,kwa bahati wote ni wafanyakazi sekta binafsi...wamebahatika kupata mtoto mmoja sasa....

sasa basi ,jamaa anakitoyota chake kila asubuhi anakiwasha wanaelekea jobu na mamsapu pembeni...Gari si unaju alazima ipite shell??jamaa bajet ya mafuta mwez mzima ni juu yake!!

akimshusha kazini kwake bimkubwa haishi mara nipe ef 5 ya lunch nk nk...badae naomba nitumie vocha duka lipo mbali haya anatuma!!

jioni the same apitiwe,,oooh beby leo nna hamu ya samaki wa kupaka satoo,ooh kuku wa kienyeji!!jamaa anunue!!!

ela ya bibie haionekani!!na jamaa wanaishi poa tu ila amenisimulia tu kuyajua y andoa yalivyo....

jamani!!!mbona nimeogopa??

Ndivyo ilivyo? sasa zake ziende wapi? kwa kweli nitaendelea kuwagegedua tu



kama uliona haya majukumu huyawezi, basi usingeoa........

kuitwa mume/baba kuna gharama yake........,

by the way, hata kama huyo mwanamke ndo anampeleka puta hivo mzee,

basi na yeye apunguze hizo isidingo.............atambue hiyo ni ndoa sasa haina maigizo.
 
Hii ni story ya kufikirika.... ukiwa mkubwa ukaoa ukawa na familia yako hutaleta story kama hizi jamvini
Tunaojua maana ya ndoa tunaenjoy mno ndo maana mishavu inakuwa dodo kaa paka wa bar nyie bakini hivyohivyo na stori zenu za kuliwazana

hahahaha safi sn
 
Huu sio mzigo ni wajibu ni kama mtu mwenye makalio makubwa au kichwa kikubwa halalamikii uzito wa makalio au kichwa.
Wajibu wa kutunza familia pamoja na mke ni wa MWANAUME. Hili halina ubishi. Lakini upatapo mke aliyefundwa vizuri na mcha-Mungu kamwe hawezi kukubebesha zigo lote mume wake mpendwa. Atakusaidia kwa njia moja ama nyingine kubeba majukumu ya familia hata kama sio 50% kwa 50%. Wanawake wenye hekima husoma nyakati ili kulinda heshima ya waume wao na familia zao.

Ubinafsi ni tabia tu, iwe kwa mwanaume au mwanamke. Kuna wanaume wengi tu ambao wanakimbia majukumu yao ya kifamilia na kuwaacha wake zao wakibeba gharama zote za kutunza familia. A relationship is a two way street, it should be mutual and reciprocal. Na maisha ni kama WWE ili kuyashinda lazima uwe na tag team na mume/mke ajue when to tap out and/or get into the ring.

Heshima ya mwanaume sio kuvua zipu au kujipiga kifua tu kwani hata sokwe hufundishwa kufanya hivyo.
 
Khaaa ndio maaana mnatudharaulisha sasa!!!!!
Eti samaki na kuku ndo wanamlalamisha, yaani kumpeleka wife job na kumpitia nayo kazi!!!?????
Mke huyu anayekubebea mimba mizi tisa upate heshima ya ubaba !!!???
Unatoka na mwanao mnatia story, ukiona nguo au viatu unamkumbuka mwanao, ndugu wanakuita baba fulani sababu ya huyu mkeo!!!!!
Unatoka mishe zako upo hoi ukifika tu mwanao anakuja mbio unamnyanyua na kusmile .......hivi mtoa mada unajua smile ya mtoto inatoa faraja gani kwa mzazi!!!??????
Leo mzazi mwenzio kujiachia kwa uwepo wako iwe taabu...........kama vipi asingeoa tu!!!!

Leo kumuhudumia nayo iwe taabu mpaka bango hapa JF!!!!!!!!!!!!
Hebu mwambie huyo jamaa aache kudeka asee!!!

Kaizer bro njoo umsikie mvulana huyu!!!
 
Last edited by a moderator:
wanawake ni wa binafsi sana hata awe anakuzidi salary atakuwa tegemezi tuu

Hata kwenye biblia mwanamke kaambiwa atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho! Wanaume mmekuwa wavivu sana katika kutimiza majukumu yenu! Kila siku kulialia tu hee! Mbona babu zetu wake zao walikuwa wamama wa nyumbani na hawakuwalalamikia? Kweli wanaume siku hizi ndo mana mnaitwa 'wanaume suruali'! badilikeni muwe vichwa vya familia na sio mikiaaaa!!!!!
 
hivi c imeagizwa kua mwanamke atazaaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho.mimi nashangaa kuona mwanaume anaomba asaidiwe majukumu yake hv nyie mnamsaidia mama pale anapozaa kwa uchungu.wanaume wasikuizi wamekua walalamishi sana yaani cjui kwann yaan
 
Back
Top Bottom