Sitasahau siku nimelala na mke wa mtu

Sitasahau siku nimelala na mke wa mtu

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
694
Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.

Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara kwa mara anatengeneza mazingira ya kuliwa,mara anitanie,hivi na vile nk.

Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa amani,nikajuta,nikaona dunia nzima imeniona,ilikua usiku nikaona kama ni mchana,nikatamani nikimbie usiku huo,nikafunga mizigo yangu usiku huo huo nihame,nikaona kama dunia nzima imenielemea mimi.

Nikajuta usiku kucha,sikulala,asubuhi sa 11 nikaondoka kutoka nyumbani na kibegi kidogo cha mgongoni nikimbie aibu,nikawa na wasiwasi na mashaka yasioisha,naona kama kila mtu anajua,nikaenda stendi ila sijui naenda wapi,baadae nikaenda kwa rafiki yangu,nikalala mchana kutwa.

Niliposhtuka kama sa 10 jioni nawasha sim nakutana na meseji za yule mwanamke akinisifia sijui najua kufanyaje,kidogo akapiga sim,nikaikata,hofu yangu ikaongezeka mara dufu. Sikurudi nyumbani kama wiki nzima niko kwa rafki yangu.

Nikabadili namba ya sim ili yule mwanamke asinipate,sijui aliitoa wapi tena namba yangu mpya,kunichanganya zaidi akaniambia hajaona siku zake,nikachanganyikiwa,nikataman dunia ipasuke niingie,nikawa na mawazo ya kujinyonga(kumbukumbu haikuja kama nilitumia mpira,kumbe nilitumia)

sitasahau hilo tukio,kwa kweli kulala na mke wa mtu ni vibaya sana,hata Bible imekataza hiyo dhambi. Kati ya dhambi zote nilizowahi kufanya hii ndio ilinikosesha amani,wala sitakuja tena kuirudia.
 
Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa amani

Kwanza, poleni mlioko kwenye ndoa.

Pili, hivi mtu mzima unategwaje ukategeka?

Mimi naona kama unatafuta kisingizio tu. Wewe kubali tu kuwa nyote mlitaka kufanya mlichofanya (kama hilo simulizi lako ni la kweli).

Kuanza kusema ulitegwa ukategeka ni jaribio la kutupia lawama kwa mwingine.

Wajibika.
 
Alikua anakuja mara moja moja chumbani kwangu kuangalia tamthilia,,siku hiyo kaja na laptop yake tuangalie muvi,alikuja nimpe kampani kuangalia muvi,tumeangalia weeee,

siwezi kumtupia yeye lawama zote,hata mimi nina sehem ya kuwajibika kwa hilo,ni tukio ambalo huwa linaikosesha amani nafsi yangu kila nikikumbuka.......
 
Mke wa mtu anakuja mara moja moja chumbani kwako kuangalia tamthilia? Anakuja umpe kampani muangalie muvi?

Kwa akili yako na yake, nyote kwa pamoja mliona kufanya hivyo ni appropriate?

Nazidi kuwapa pole walioko kwenye ndoa! And I mean it.
 
Kwanza, poleni mlioko kwenye ndoa.

Pili, hivi mtu mzima unategwaje ukategeka?

Mimi naona kama unatafuta kisingizio tu. Wewe kubali tu kuwa nyote mlitaka kufanya mlichofanya (kama hilo simulizi lako ni la kweli).

Kuanza kusema ulitegwa ukategeka ni jaribio la kutupia lawama kwa mwingine.

Wajibika.

Dhambi hii ya "Kusingiziana" ilianzia hapa.....Mwanzo 3:12
11Mungu akamwuliza, "Ni nani aliyekuambia yakuwa ulikuwa uchi? Je, umekula matunda ya mti niliokuamuru usile?'' [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
[/FONT]
[/FONT]12[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
Adamu akasema, '‘Huyu mwanamke uliyenipa awe pamoja nami, ndiye aliyenipa sehemu ya tunda kutoka kwenye huo mti, nami nikala.''
[/FONT]
[/FONT]
 
Nakupigia picha sioni kama wewe ni mwanaume kweli, its too psychic
 
Sasa kama ulitumia condom hiyo mumba ilipatikanaje?
 
Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.

Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara kwa mara anatengeneza mazingira ya kuliwa,mara anitanie,hivi na vile nk.

Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa amani,nikajuta,nikaona dunia nzima imeniona,ilikua usiku nikaona kama ni mchana,nikatamani nikimbie usiku huo,nikafunga mizigo yangu usiku huo huo nihame,nikaona kama dunia nzima imenielemea mimi.

Nikajuta usiku kucha,sikulala,asubuhi sa 11 nikaondoka kutoka nyumbani na kibegi kidogo cha mgongoni nikimbie aibu,nikawa na wasiwasi na mashaka yasioisha,naona kama kila mtu anajua,nikaenda stendi ila sijui naenda wapi,baadae nikaenda kwa rafiki yangu,nikalala mchana kutwa.

Niliposhtuka kama sa 10 jioni nawasha sim nakutana na meseji za yule mwanamke akinisifia sijui najua kufanyaje,kidogo akapiga sim,nikaikata,hofu yangu ikaongezeka mara dufu. Sikurudi nyumbani kama wiki nzima niko kwa rafki yangu.

Nikabadili namba ya sim ili yule mwanamke asinipate,sijui aliitoa wapi tena namba yangu mpya,kunichanganya zaidi akaniambia hajaona siku zake,nikachanganyikiwa,nikataman dunia ipasuke niingie,nikawa na mawazo ya kujinyonga(kumbukumbu haikuja kama nilitumia mpira,kumbe nilitumia)

sitasahau hilo tukio,kwa kweli kulala na mke wa mtu ni vibaya sana,hata Bible imekataza hiyo dhambi. Kati ya dhambi zote nilizowahi kufanya hii ndio ilinikosesha amani,wala sitakuja tena kuirudia.

Subiri siku watakapo lala na wako. Alafu ma ajabu ya mungu wa kwako kanda utaijuwa
 
Usipotubu dhambi itakutafuna na kukukosesha amani. Kulala na mke wa mtu ni ufedhuli mkubwa sana, nipo radhi anione mjinga coz siku hizi ukiwakimbia wanakuita coward.
 
Kwanza, poleni mlioko kwenye ndoa.

...... hivi mtu mzima unategwaje ukategeka?

Mkuu kutokana na kapiliensi ..oh sorry.. 🙂 udhungu... kutokana na experience yangu ni kuwa mwanaume aliye katika ndoa ni rahisi kunasa hata kwa mtego mbovu kutokana na relationship ya ndoa yake..

Kama mahusiano yako yanayumba hata bila kugombana au kukwaruzana kwa maneno... basi ujue hata ukitegwa kwa kamba mbovu utanasa tu...
 
Nadhani umetunga story na kuna vitu umesahau. Kwani ulienda kwa rafikiyo jumla? Nini kilifuata baada ya yeye mke wa mtu kupata namba yako mpya?? Je ulihama hapo au bado hujahama??
 
Jaman humu huwa tunadanganywa haswaa,haya kitabu kinatoka lini?eti..nikakimbia wiki,siku hajaziona,sina kumbukumbu kama nilitumia mpira,namba mpya akaipata huyo mwanamke,ha ha ha ha haaaaaaaa,mbavu zangu jamani,jf kiboko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom