Nani hasa unamuamini? Nakwanini?

Nani hasa unamuamini? Nakwanini?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Katika kukuletea habari nzuri na mbaya zimhusuzo mkeo/mumeo/mpenzio,nani unamwamini? ndugu?rafiki?jirani? kwanini?

Binafsi najiamini mwenyewe ili kumuacha mke/mpenzi wangu kwakuwa nakuwa nimejiridhisha.
 
Ni kusikiliza moyo wako tu, si unajua bindamu wamezaliwa wanasema
 
Mi naiamini Guiness beer.

Haina wivu,
Haina wapenzi wengi kama vikina castle lite.
Ni sumu ya minyoo.
Nikiihitaji wakati wowote naipata, haina visingizio vya kubleed wala ujauzito usiopangwa.

Abarikiwe sana aliyemzaa Guiness beer.

cc: Barack Obama.
 
Kwa swala la habari unaweza kumuamini yeyote tu isipokuwa chochote unachoambiwa changanya na zako utajua ufanye nini!! Hupaswi kukurupuka kwenye swala la habari lakini pia hupaswi kudharau unapopata habari/taarifa yoyote
 
ukisikiliza sana maneno ya watu..kamwe huwezi dumu na mpenzi wako.
 
people i trust.jpg
 
Back
Top Bottom