Namna ya kutumia muda vizuri MMU. Msaada

Namna ya kutumia muda vizuri MMU. Msaada

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
katika kazi ngumu yangu huwa napenda kupata dk 10 za kupitia MMU kupumzisha akili, lakini nikija hapa hujikuta namaliza saa zima kutokana na mada zilivyotamu .

Nisaidieni nifanyeje ili nisitumie zaidi ya dk 10 kwa siku hapa MMU?
 
attachment.php
 

Attachments

  • r.PNG
    r.PNG
    58.4 KB · Views: 230
jiwekee time watcher kama ile ya internet cafe!unajiwekea dk kumi zikiisha unaendelea na kazi
 
...majukumu yakizidi wala hutakuja kuuliza swali hilo..
 
tukitumia fimbo na
slapping.gif
utajua tu kutumia muda vizuri...

hii ni njia nzuri kabisa ya kufunzia watoto
 
katika kazi ngumu yangu huwa napenda kupata dk 10 za kupitia MMU kupumzisha akili, lakini nikija hapa hujikuta namaliza saa zima kutokana na mada zilivyotamu .
Nisaidieni nifanyeje ili nisitumie zaidi ya dk 10 kwa siku hapa MMU?
km Jukwaa hili hutaki kutumia dk 10b
asi nenda Jukwaa la Mambo ya Kikubwa hutapumzisha akili yako tena ila utazimua visivyo....
Ndio utajua JF kiboko
 
tukana hapa jukwaani, nadhani hutotumia muda mrefu kuendelea kuwa MMU
 
Kama uko busy kweli ata 10mnts ni nyingi bado
 
Back
Top Bottom