Wanawake wana roho mbaya sana

Kuna concept ya Kijerumani inasema kwamba ''Ukimuwekea mwanamke kisu kikali na kisu butu halafu ukamuuliza ni kipi angetumia kumchoma mtu anayemchukia atachagua butu ili amtese,wakati mwanaume angechagua kikali ili amalize hasira haraka''.
 
kuna concept ya kijerumani inasema kwamba ''ukimuwekea mwanamke kisu kikali na kisu butu halafu ukamuuliza ni kipi angetumia kumchoma mtu anayemchukia atachagua butu ili amtese,wakati mwanaume angechagua kikali ili amalize hasira haraka'.

haha haha, i like it. Hawafai hawa
 
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....

Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..

At least hata ungesema si wote .. ..
 
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
 
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....

Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..

At least hata ungesema si wote .. ..

Tena kama nyie mlioenda enda shule ndo mna roho mbaya sana. Mnajifanya hamu entertain mambo ya extended family. Hivi unafikiri ulivyonikuta mimi nina kagari na kaofisi unadhani nilidondoka toka mbinguni? leo hutaki kaka zangu wala nani
 
Lakini ni umezaliwa na viumbe hawa; umelelewa na mama, shangazi, dada n.k.
Umekwenda shule, mchango wa mama Nduka leo hii umesahau! Baba yako wakati akiwa Afisa Elimu, mama yako akijitahidi wewe uwe ktk maisha na mienendo mizuri leo umesahau! Pole sana!
 
u better read between the lines to snatch my concept.
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.

Na wale wasioshi nahata mmoja wapo wa hao hapo juu ubaya wake uko wapi?
 
Hivi wewe Una mama, dada, shangazi, mke, marafiki wa kike, mtoto wa kike je , bibi....

Chunga sana maneno yako mkuu , unadhani
Unatukana wanawake au watoto wa wengine
Umejisahau ya kwamba wamekuzunguka..

At least hata ungesema si wote .. ..

Mtoa mada, kalelewa na mama yake mzazi wakti baba yake ameishatangulia mbele ya haki! Just think about it!
 
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. !
Ukimzaa mwanao ndo umchukie na kumfanyizia mtoto wa kambo?
Usitake kuleta hapa guilty concious eti mama alikuzaa.
Ukweli bado unabaki.
Roho mmmbayyyyya!
 
Tena kama nyie mlioenda enda shule ndo mna roho mbaya sana. Mnajifanya hamu entertain mambo ya extended family. Hivi unafikiri ulivyonikuta mimi nina kagari na kaofisi unadhani nilidondoka toka mbinguni? leo hutaki kaka zangu wala nani

Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..

We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..
 
Mkuu kama unagari na ofisi acha ku ringisha
Basi ..

We unamatatizo yako binafsi unamletea kila mtu .
si useme tu nini kulikoni upewe ushauri kuliko kumwangukia kila mwanamke ..

Kwani kuwa na kagari si mambo ya kawaida tu.
 
It depends on his/her social relationship background, usiwahi kumlaumu. Kuna watu wamefikwa na makuu. May be ndo mana anasema hivyo.

Back
Top Bottom