Upungufu wa hisia za kimapenzi

Upungufu wa hisia za kimapenzi

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
Watu wengi wakiona hawawezi kupiga game sawasawa anakimbilia kumeza madawa ya kuongeza nguvu za kiume akiamini nguvu zimepungua....

Binafsi imewahi kunitokea several times hii hali,ila baada ya karesearch chenye sampling ya kushiba nikagundua ni tatizo hasa kwa kipindi iki...

Sitaki kuongea sababu zinazochangia,,mzee wangu MziziMkavu do u have any input on this?unanitibuje upungufu wa hisia za mapenzi?

Pengine nikilala na mtu fulani nakua hot sana nikirud hom ngoma jii.......apa tunafanyaje?

Hili linawakumba sana watu wengi
 
Lishe na stress zinachangia mkuu, hakuna haja ya kumsubiri mzizi mkavu wakati majibu tunayo
 
^^
Hivi hisia za mapenzi na nguvu za kiume ni dhana sawa?
^^
 
535680_493920037312362_1484712722_n.jpg
 
Watu wengi wakiona hawawezi kupiga game sawasawa anakimbilia kumeza madawa ya kuongeza nguvu za kiume akiamini nguvu zimepungua....

Binafsi imewahi kunitokea several times hii hali,ila baada ya karesearch chenye sampling ya kushiba nikagundua ni tatizo hasa kwa kipindi iki...

Sitaki kuongea sababu zinazochangia,,mzee wangu MziziMkavu do u have any input on this?unanitibuje upungufu wa hisia za mapenzi?

Pengine nikilala na mtu fulani nakua hot sana nikirud hom ngoma jii.......apa tunafanyaje?

Hili linawakumba sana watu wengi

Hisia za mapenzi au hisia za ngono ?
Kukosa hisia za mapenzi ni kwamba hujisikii kuwa na mpenzi ila game unapiga kama kawa inaitwa hit n run hili ni tatizo la kisaikolojia na wanalo watu wengi !!mtu hamchukulii mwanamke kama kiumbe kinachohitaji mapenzi faraja na kuthaminiwa ,yeye anachojua ni ngono tu !!akiingia naye chumbani anafanya anamaliza mnamalizana anaondoka mengine hayamhusu, unemaliza hujamakiza sio headache yake


Hisia za ngono
Ni tendo linalohitaji psychological preparation japo kwa wengine ni moto mara moja hasa akikutana na anayempenda
lakini vyovyote viwavyo its so natural kwamba kuna majuto hufuata baada ya kumaliza kungonoka hasa kama ulilala na mtu asiye sahihi au usiyempenda au uliyemlazimisha ! Na kama hukutumia kuna swali huja automatically SASA NDIO NIMEFANYA NINI !!
Hisia za ngono ni kitu kibaya mbo zikikupanda akili yote huvurugika na kukata network na ndio maana hukuta watu na heshina zao hubaka tena maofisini nk lakini matokeo yake ni majuto yasoisha
Kwahiyo ni kawaida mgosi kusimama dede na kuvimbiana lakini akishashusha mzigo husinyaa na kulegea kuliko mboga ya mlenda ,hii huhitaji muda tena kuweza kurudi hewani tena huu si ugonjwa japo inakera
unachotakiwa kukifanya ni kujitrain ili uweze kuunganisha ruti ukishusha husubiri foleni unapakia juu kwa ju!! lakini hii inataka uzoefu na shibe pia kujituma na kuweka stress kando
ONCE U WANNA DO IT DO IT PERFECTLY
 
Huku India bwana kuna vijimafuta vya kupaka ukeni au kwenye uume yaani vinayegesha ile mbaya yaani we full time ya game network iko full.
Dah! I wish papuchi zingekuwa na password
 
Back
Top Bottom