Marafiki, upendo wa dhati ndilo jambo la kheri baina yetu na wengineo.
Hivi inakuwaje mpaka mtu wa tabaka la juu anamchukia na kumtolea maneno makali au hata yenye kukera mtu mwenye tabaka la...
Kwa wahindi ni kawaida mke na mume kukaaa dukani na kujua mambo yote ya michakato ya biashara kwa kuwa wanakula na kupata mahitaji mengine kutokana na hiyo biashara.
Kazi iko kwetu baadhi yetu...
Habari wana MMU.
Hope weekend yenu iko vizuri.
Kwa upande wangu sio nzuri sana kutokana na yaliyonikuta jana.
Kama mjuavyo kwenye relationship kuna mambo ya kutoana out hasa weekend,nami kwenye...
Hivi inakuwaje mpaka mwanaume au mwanamke anaamua kuisaliti ndoa yake? Je ni tamaa za pesa au ngono au hata kuichoka ndoa? Nahitaji majibu yenye kuelimisha guys
Kitendo cha kufall In love au hiki kinachoitwa kama sijui Mapenzi kati ya watu wawili kimebuniwa na Binadamu na SIYO cha Asili!
Kwenye asili kabisa ya Binadamu hakuna kitu kama kufall In love...
Mmeshindaje bhandugu?,
Wengine wananishauri niolewe nae tuu nitajifunza mpenda ndani ya ndoa...
ni hivi kuna huyo jamaa amekua akinitaka kimapenzi kwa miaka mitano sasa na ni mwanaume ambaye...
Je wewe ni msichana mrembo?
Una umri wa miaka 24-30.
Je wewe ni mcha mungu?
Kama unajiamini tuwasiliane kwa wandwib@yahoo. Com.
Nipo serious mimi ni mwalimu.
Ni nadra sana kuckia mdada anasema 'naomba hela nianzishe mtaji wa maandazi, au kachori' ila utasikia naomba laki 1 ya kusukia,au naomba elfu 50 nikanunulie weaving, naomba hela ya nguo' sasa...
Mimi ni binti wa miaka 25,
Nilianza mapenzi miaka kadhaa iliyopita na kaka mmoja ambae tulikuwa na tofauti ya miaka saba.
Uyo kaka nilimpenda sana kuliko neno sana lenyewe lilivyo, na sikuwahi...
Hallow Wakuu,natumaini hamjambo.
Kuna Mate wetu mmoja tulikuwa nae Mazengo sekondari A level mwaka 1983-1985 PGM.
Huyu bwana alikuwa mpiga gitaa mzuri sana enzi hizo,na alishawahi kupigia band...
Ilikua ijumaa saa sita usiku nliposikia mlango ukigongwa, nilishtuka kwani room mate wangu hakuwepo tuliagana akitoka kuangalia mechi ya Chelsea na arsenal asirudi kwani nina mgeni.
Nkakurupuka...
I can't help but notice that the bulks of beautiful people I have seen, either on the media or in everyday life, are white. What Do You Think Mwana JF?
Baada ya mapenzi ya Prezzo na demu wake wa kitanzania Starlisha Tillya kuisha,
Prezzo kwanza alianza jana kwa kuweka picha za Goldie kusema ana mmiss
alafu akaweka ya Halle Berry na kumsifia...
Kwa faida ya kina kaka embu wadada tujuzane mnapenda wapenzi/wenzi wenu waweje linapokuja swala la upole.Hapa siongelei ule upole wa muda kwamba ikitokea ugomvi mara moja moja anaweza kujishusha...
Ni wivu, na hasira za kunyimwa penzi,,, akamuua mpenziwe,Daa.. very sad
mpenziewe hakutaka wala onyesha dalili ya kumuhitaji pistorius,,,,at the eve of the valentine day,,, hata zawadi...
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume mwenye elimu ya chuo (degree) bado natafuta ajira ya kudumu,ninaumri wa miaka 27 yrs nw,ni mrefu na mweusi wa maji ya...
wasalaaaam ndugu wajeifii (jf)
Mimi ni kijana nilie na matazamio ya kuitwa mzazi siku moja ktk maisha yangu ya kuishi hapa duniani na tena huwa ninajaribu kufikiri ni kwa jinsi gani hii ndoto...
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na...