giftedlady
Member
- Nov 28, 2013
- 7
- 1
Nimekuwa observing member siku nyingi sana nimeona leo nishare na wanajamii jambo moja.
Jamii nyingi imekuwa ikitufundisha kuwa masturbation ni mbaya , naomba niweke baadhi ya maelezo ya kwanini kujitathmini mwili kama mwanamke ni kuzuri na kunaweza kudumisha mapenzi/ndoa.
Mapokeo: Jamii nyingi na makuzi yetu yametuaminisha kuwa ili mwanamke aridhike ni lazima kuwe na intercourse na lazima afanyiwe hivyo na mwanaume. Lakini ukweli ni kuwa kuna wanawake wengi sana wanapata orgasm bila ya kuwa penetrated na mwanaume. Kumbe clitoris ya mwanamke ama ajishike mwenyewe au ashikwe na mtu ni sehemu kubwa sana inayomfanya aridhike ipasavyo. Hivyo mwanamke ni vyema yeye pia ajipapase ajue maeneo yake muhimu na nerve ending zake zipo wapi just a body exploration experience wakati wa kuoga, wa kulala ni muhimu kwani unaweza hata kumguide mwenza wako wakati wa tendo. Tabu kubwa tu ni wanawake hasa kwetu afrika tumelelewa kwa kuamini kuwa hata kujigusa ni dhambi.
Tafiti mbalimbali (unaweza soma kitabu cha Elison: Sex: A natural history , au cha Suzie Holmes Sex and Marriage wanaeleza mambo mengi juu ya mwanamke kuweza kuexplore mwili wake, kuclimax akiwa mwenyewe.
NB: Siongelei dildo hapa
Kuna benefits unaweza kupata kwa kufanya masturbation

- Inakusaidia ubalance hormone na kupata usingizi murua ; kumbuka umepunguza nyege, umeclimax hivyo mood yako, na mwili wako umerelax vema hivyo usingizi huwa mzuri
- Inamsaidia mwanamke kuwa na mzunguko mzuri wa damu; Kumbuka masturbation kufanya nerve ziwe stimulated na blood flow iende sawa hasa kwenye clitoral parts. Hivyo indirectly hupunguza uwezekano wa magonjwa ya moyo.
- Inasaidia kuongeza nguvu ya pelvic floor (sijui Kiswahili sahihi) ila tunajua kina dada wengi wanakuwa na tension chini ya kinena (hata kama anasex kila siku) hivyo akiweza kuorgasm vema hupunguza pelvic stress
- Muhimu sana huongeza our self love au self relationship: Hakuna raha kama kujigusa , kujijua na kujitathimi kuwa mhhh hapa kweli mwili wangu upo fiti na mume au mpezi nitamwambia ashike hapa na hivi na anyonye hapa (kumbuka this doesnt involve the use of artificial dildos)
- Inaongeza mahusiano yetu na kina baba: kumbuka si kila saa mwanaume anawez akukuridhisha na hakuna wa hivyo duniani (ukiwa na experience ya muda kwenye ndoa u will understand) kuna muda mpo stressed na kazi au mwenzio ana tension, tafadhali kina dada msiwaze kwenda nje , just give yourself self pleasure na kama mpo intimate unaweza kumasterbate mbele yake ili naye akusaidie kunitensify orgasm ; Binafsi huwa namasterbate na mume wangu anajua kuwa akisafiri , akiwa stressed na kazi I do that; na one of our fatasties mara moja moja I do it with him just before we start our intimate sexual encounters.
- Cha muhimu hapa ni : know your body, Love your body, please it, tell your patner to intensify that pleasure utaona mabadiliko sana kwenye mood, self confidence , blood flow na mahusiano yako Please no didlos involved just a soft caressing of your nipples, clitoris , mapaja : Its simply heavenly !!