Kwa naiba ya mwanaume wangu
komaa tu mwambie haina shida umempenda hivo hivo!!!
Akikwambia ana mtu wake mwambie kwani wengine wana midoli?Bila shaka kwa wanaume waliokamilika katika tongoza yenu mmeshawahi kukuta na majibu hayo je, huwa mnategua vipi majibu haya toka kwa wadada.
Bila shaka kwa wanaume waliokamilika katika tongoza yenu mmeshawahi kukuta na majibu hayo je, huwa mnategua vipi majibu haya toka kwa wadada.