benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Ni tabia mbaya na wengi mnaatarisha afya zenu wakati unapotaka kuesabu pesa unalamba kidole alafu ndio unaanzakuesabu. Kuna wengine wanatemea vidole mate kabisa yaani mate mpaka unayaona alafu eti ndio anakuhesabia pesa. Ndio najua mate ni kilainishi lakini sio kwenye noti. Mate yana pahali pake bwana. Wacha hiyo tabia.