Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

Kwa Tabia hii nimemchoka mke wangu

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini
 
Ngoja waje wazee wa maushauri ila pia jiandae kisaikolojia mana kuna watu bila kutukana na kutoa maneno ya kejeli hawajisikii raha kabisa.
 
Najitahidi kumuelewesha japo anisubiri nirudi job ndio aende na zake ila haelewi
 
Mimi nilidhani jambo zito zaidi. Hilo ni la kusema naye tu kitaeleweka.
 
Habari zenu waungwana?
Hebu nipeni ushari mke wangu ananichosha kwa kutokukaa nyumbani.

Kwa sasa tunaishi karibu sana na familia yangu yaaani nyumba ninayoishi na kwetu ni kama mita 20 basi mke wangu anapenda sana kuenda kwa wazazi wangu na mawifi zake yaani imekua kero nikirudi kazini nikifika home lazima nimpigie simu ndio aje kwetu nimejaribu kumuambia ila naona hanielewi tabia hiii ya kuranda vijumbani hasa akiwa na hakika kua niko karibu na kurudi home kwa nn asisubiri hafi nirudi ndio atoke hata nikija na vizawadi vya wanangu nashindwa kuwapa kwani huwa katoka nao wakirudi wanajua kua kilikuweno ndani hawajui kua ni zawadi imekua hata ounizoeya na kinishangirikia nikrudi kazini hawafanyi wanajua mkono mtupu hautabwi.

Tabia yako mke wangu ya kualika watu harusi kila siku mi nimeichoka (kuranda vijumbani mwa watu)

Wakubwa hebu nishaurini

mpige biti,mwambie kama hataacha,utamrudisha kwao,miezi sita kwa wazazi wake,akajifunze huko,then arudi,hajaacha atarudi tena,kuonesha msisitizo,mpigie kwanza cm mama yake mzazi umweleze tatizo,na usisitize kama hatoelew tena utamrudisha kwake,then utapata matokeo mazuri.
 
^^
Some of us are mothering people.. Acceptance is what will make you free
^^
 
mwambie aache....
uswazi.jpg
 
Hamia mbali na hapo, mitaa ya mageti tupu, ukigonga wanakushangaaa, mbezibeach huko, atanyooka tu na culture ya uzururaji itamuisha. Kila mtu na geti lake. Ukikaa uswahilini kwetu mihuu inawasha, unakosa UBUYU WA OMAN (UMBEA) Nani kadinywa na nani? Kapewa nini? Nani kafungashiwa virago msimu huu, nani anacheza ligi kombe la mbuzi, huwezi kutulia ndani.
 
Ila kukaa karibu na wazazi ukiwa tayari na familia yako nayo ni challenge kubwa tuu.
Kama inawezekana waweza kaa mbali mkuu.
Kuhusu wife, kweli hilo sio jambo jema na njia rahisi ya kumfanya ajistukie na aache fanya hivi.
Kabla hujafika home mpigie simu muulize kama yupo nyumbani, kama hayupo mwambie akimaliza maongezi na kurudi home akustue ndo uje. Fanya hivyo hata wiki tatu mfululizo. Na kweli usifike mpaka akwambie yupo ndani.
Nina uhakika kama ana busara ataacha tu!!
Mtazamo wangu!!!!!!!!
 
Hamia mbali na hapo, mitaa ya mageti tupu, ukigonga wanakushangaaa, mbezibeach huko, atanyooka tu na culture ya uzururaji itamuisha. Kila mtu na geti lake. Ukikaa uswahilini kwetu mihuu inawasha, unakosa UBUYU WA OMAN (UMBEA) Nani kadinywa na nani? Kapewa nini? Nani kafungashiwa virago msimu huu, nani anacheza ligi kombe la mbuzi, huwezi kutulia ndani.
inategemea huo ushauri wako unamsaada kwa mtu wa aina gani. kuna watu tumo humu humu bongo, lakini hiyo mbezi beach twaiyona ka ulaya.
 
Kama anaenda kwa mkwe hiyo niafadhali, kama ni marafiki subiri uone timbwili lake
 
Hamia mbali na hapo, mitaa ya mageti tupu, ukigonga wanakushangaaa, mbezibeach huko, atanyooka tu na culture ya uzururaji itamuisha. Kila mtu na geti lake. Ukikaa uswahilini kwetu mihuu inawasha, unakosa UBUYU WA OMAN (UMBEA) Nani kadinywa na nani? Kapewa nini? Nani kafungashiwa virago msimu huu, nani anacheza ligi kombe la mbuzi, huwezi kutulia ndani.
inategemea huo ushauri wako unamsaada kwa mtau wa aina gani. kuna watu tumo humu humu bongo, lakini hiyo mbezi beach twaiyona ka ulaya. maana unaweza kukuta hata mhamaji mwenyewe kajitwika msalaba mara mbili zaidi ya aliokua nao mwanzo.
 
Act as a father bhana toa TAMKO zito anakujaribu huyo.
kauli ambayo yeye ataitafakari

au hama mtaa otherwise atakuwa na tabia za kimbea huyo

nashindwa kuelewa anenda kuongea nini huku kwa wifi na mama?
nachukia sana hiyo tabia may be cos na mimi ciendi kwa watu or kwandugu bila sababu malalum
 
Back
Top Bottom