Msaada tafadhali: Wapenzi wa zamani wa mume wangu wanaharibu ndoa yangu!

enhance

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
449
176
Wanajamvi natumaini mpo salama,

Nipo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa sasa ila siifurahii ndoa yangu. Na sababu kubwa ni x wa mwenzangu, yupo nao busy utadhani hajaoa kuna wakati nahisi alikosea maybe sikuwa chaguo lake!

Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa kuhusu hiyo issue hana la kunijibu zaidi ya kunijibu namhisi vbya, nilijaribu kufanya uchunguzi ambao uliniumiza na unaniumiza mpaka hivi sasa baada kigundua kuna x wawili ambao wanaendelea na mahusiano hadi sasa!

Nimeumizwa sana kitendo kitendo hiki kiasi naanza kuona athari katika mwili wangu! Kilichopelekea nifanye utafiti ni kuwa mume huyu hana muda na mimi hata kdg! na ndipo nilipogundua hayo.

Kuna siku aliwahi kukiri na kuomba msamaha lakini hazikupita siku mbili mambo yakajirudia.

Ushauri wenu ni muhimu sana!
 
Dah pole sana dada, inauma hiyoo aisee acha kbs. Nakushauri ongea nae na ujue anafuata nini huko nje, je ni mtu wa kupenda kuchat chat wkt wewe huna mda nae? Wengine ni wazeee lkn na miwani yao wana hobi ya kuchat yaani unaweza shangaa dada, fill that gap.

Pili mueleze kuwa unaumia kwa afanyalo; kuoa ni pa1 na kukubali kuacha vitu upendavyo (ambavyo mwenz wako hapendi), mueleze tu kama kweli anakupenda na anaona ni vigumu abadili ikiwezekana asitumie simu(if its out of his control kuacha chit chat).

Mwisho nakuonea huruma sister, ni vile tamaduni zetu nyingine za kishenzi unaambiwa uvumilie mateso; if I were a woman sijui ka ingekua hivyo! Nisingevumilia na kuishi na huo upuuzi, upate bp na kisukari bure
 
Hakuna jambo linalo umiza kama hili..pole sana..wakati mwingine kwenye maisha unaweza kupata mtu ambaye hajakomaa kiakili(utoto) na ikiwa kwa wanaume ni shida maana anaweza kusahau, mke na watoto kwa mambo ya kijinga kabisa
 
my kaka, nimeongea nae mara kadhaa ila sijaona badiliko, kuhusu kuchat ana chat sana sina kawaida ya kuangalia simu yake sana ila nikiamua kufanya hivyo nakuta uchafu wa ajabu!! mm alinishawishi sana nibadilishe line nikatii, kuna muda natamani miaka irud nyuma!
 
Asanteeee!
mtoa mada ushapewa jibu��

1397346610991.jpg
 
my kaka, nimeongea nae mara kadhaa ila sijaona badiliko, kuhusu kuchat ana chat sana sina kawaida ya kuangalia simu yake sana ila nikiamua kufanya hivyo nakuta uchafu wa ajabu!! mm alinishawishi sana nibadilishe line nikatii, kuna muda natamani miaka irud nyuma!

Dawa yake ndogo, mi naamini we ni mzuri ila yeye anaona hufai kupewa priority, mtingishe tu jiweke busy na simu kuanzia call, text, whatsup, viber mpk ashtuke. Jinga sana wanaume wengine
 
double pussies in the house.

kijana kaoa kabla hajajitambua.

sasa inabidi mwanamke awe mwanaume, beat that bi.tch girl!.. deym it!

hebu mkaushie kama mwezi hivi, asipogutuka ujue huyo ni mirembe product.. take a marathon race!
 
double pussies in the house.

kijana kaoa kabla hajajitambua.

sasa inabidi mwanamke awe mwanaume, beat that bi.tch girl!.. deym it!

Leo uko eyes hadi saivi! I wish wote msilale till mornie; bwa mdogo Excel kuchat ni hobbie sio kujitambua or what, nimeshuhudia 60years old man anachat vibaya mno. Kuna zile offer zilikuwepo za zain na voda, sms anamaliza kwa kuchat na miwani yake. Ila alikuwa anagegeda sana teenagers, like his grad children
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa sio mpenzi sana wa mitandao ya kijamii ila imenibid sabb ndo nakopata nafuu,imagine anaweza asafiri asikwambie amefika au akae kutwa nzima usipomjulia hali ikifika usiku may be saa 4 atume msg usiku mwema !
 
yap niko macho brother.! unataka nilale nibebwe na mafuriko?

btw, kuna watu hata wasome ama kuelimishwa vipi, as long as hawakupewa elimu hiyo utotoni, basi kubadilika itakuwa ni tega nitegue.. kitendawili!

nawashangaa sana wazee nao eti hizi tabia wanazo! sijui nani sasa wakumbadilisha mwenzie aisee!
 
Dr.Mo asante ila inaumiza sana! yani huyu hata sielewi aisee umri kanizid sana almost ten yrs, shule anayo ila swala la familia limepita kishoto!
 
nilikuwa sio mpenzi sana wa mitandao ya kijamii ila imenibid sabb ndo nakopata nafuu,imagine anaweza asafiri asikwambie amefika au akae kutwa nzima usipomjulia hali ikifika usiku may be saa 4 atume msg usiku mwema !

Maisha yanabadilika, karibu MMU hutakuwa alone kamwe ni kujifunza tu kuwa kwenye hizi network. Huoni akina Munkari, amu, Heaven on Earth unadhani hawana mashida ya mahusiano? Ila humu panawatoa stress
 
Last edited by a moderator:
kuna kipindi nilimwambia kila mtu aangalie ustarabu, akaita mshenga aje asuluhishe ila haikupita wiki mambo yakajirudia!
 
nimewai kufanya hivyo ila ilikuwa nalazmika kukaa sitting room sana nimkute kalala nikiwai ananisemesha!
 
yap niko macho brother.! unataka nilale nibebwe na mafuriko?

btw, kuna watu hata wasome ama kuelimishwa vipi, as long as hawakupewa elimu hiyo utotoni, basi kubadilika itakuwa ni tega nitegue.. kitendawili!

nawashangaa sana wazee nao eti hizi tabia wanazo! sijui nani sasa wakumbadilisha mwenzie aisee!

Poleni na mvua huko, dah hatare sana umepona kulowesha laptop yako? Siku izi hukeshi kbs
 
nilikuwa sio mpenzi sana wa mitandao ya kijamii ila imenibid sabb ndo nakopata nafuu,imagine anaweza asafiri asikwambie amefika au akae kutwa nzima usipomjulia hali ikifika usiku may be saa 4 atume msg usiku mwema !

Mmh! Hii ni kweli au movie aisee?!! Mpo kwenye ndoa kweli dada yangu au ni uchumba?!! Maana shemeji yetu hayupo serious kabisa.

Anyways,kama hili swala ulisha mwambia zaidi ya mara moja mpaka na mshenga kaitwa hapo dawa ni wewe kuwa busy pia.The dude thinks u can't do anything,kuna wakati watu wanajisahau sababu ya kujiamini kuwa mke au gf wake hawezi kumuacha au hawezi kufanya hayo ambayo yeye anafanya.So mpaka siku aone huna time naye na wewe upo busy online ndio kiroho kitamuuma caz men are possessive.Kama na hapo hatobadilika basi hapo chapa lapa,u are still young
 
Back
Top Bottom