Jini mahaba
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 151
- 39
Nimeamua kuandika hivi baada ya kushindwa kuisaliti ndoa yangu Sijui mke wangu kanipa nini hata nikiwa peke yangu mbali nikitaka kumsaliti nashindwa kabisa kila picha yake ikiniijia kichwani naona nachotaka kukifanya ni dhambi awali nilidhani ni Limbwata wakati wa likizo niliporudi kijijini nikamtafuta mtalamu anipe dawa ya kutapika limbwata lakin wapi. Nilichogundua hapa si hirizi si mzizi ila moyo umeridhia Nashawishika kusema U the Most AMAZING women second to ma mumy Nataka dunia nzima ijue nakupenda mama yoyo wangu na nimeamua kushow love na kuwashauri wana jf hasa wana MMU Kwa wanaume wapendeni na kuwaheshimu wake zenu michepuko sio dili na namna ya kutomchoka mkeo ni kugegedana kwa ratiba lakini pia usipende kuutazama uchi wa Mkeo kisaikolojia hukiniasha na kusababisha kuchokana
Long live my wife..........................................!!!
Long live my wife..........................................!!!