Hili lina nitatiza kidogo Wajameni!

Hili lina nitatiza kidogo Wajameni!

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
Kwenye Hammer ana kisimu cha kitochi, kwenye Daladala ana Sumsung Glaxy note III.

I don't Understand the Logic.
 
Samahani kidogo!!Is it the some dude? Why having hammer and then use matatuu?

No! sio same dude. Unakuta Mtu yumo ndani ya Usafiri wa Maana na yupo comfortable na Kinokia cha Toch. Then una mkuta mtu ndani ya Daladala Tena kasimama, anachart na Sumsung Galaxy note III.

I don't get a clearer Picha Here!
 
Kwenye Hammer ana kisimu cha kitochi, kwenye Daladala ana Sumsung Glaxy note III.

I don't Understand the Logic.

sikiliza,

katika maisha tuna vitu vifuatavyo....

1. scarcity of resources,

2. scale of preference,

3. choice,

4. show off life.

viumbe wote wawili uliowaonesha hapo wote ni wamefanya choice kulingana na scarcity of resources katika eneo walilokuwa. what was their scale of preference either?.. kuna vitu vingi vya kuangalia hapo.
 
Gharama ya Note III inatosha kununua gari?

Kama ni ndio basi una haki ya kumshangaa huyo mpanda daladala...

Btw usafiri wa daladala haumaanishi maisha ya mtu ni ya kiwango duni.
 
1397375615827.jpg
Kwenye Hammer ana kisimu cha kitochi, kwenye Daladala ana Sumsung Glaxy note III.

I don't Understand the Logic.
 
Mkuu kwahiyo unataka mwenye galaxy note three aiuze anunue hummer au?
 
Hapa kwenye huu mfuko ukishaanza ndipo tutaona watanzania wazalendo wa kweli wenye uchungu na nchi yao watakavyochangia kuutunisha huo mfuko.

Tumezoea kuona matajiri wa hapa bongo wikijipendekeza kwa viongozi kwa kununua picha za viongozi hao hata kwa millioni 100 (wakiwa matajiri 5 ni sawa na millioni 500 ambazo zingewasaidia wanafunzi wengi). Lakini kuchangia kwenye mambo ya msingi kama elimu hawaonekani.

Hili wazo la kuanzisha huo mfuko lisiishie hewani lifanyiwe kazi na ninaliunga mkono kwa asilimia 100.

1397375745428.jpg pengine anataka awe na hii
 
Mkuu kwahiyo unataka mwenye galaxy note three aiuze anunue hummer au?

Gharama ya Note III inatosha kununua gari?

Kama ni ndio basi una haki ya kumshangaa huyo mpanda daladala...

Btw usafiri wa daladala haumaanishi maisha ya mtu ni ya kiwango duni.

Hapa si ongelei Preference, Katika angle ya Kiuchumi, Why waste a Million for a Phone, wakati hauna Usafiri??.
 
Hapa si ongelei Preference, Katika angle ya Kiuchumi, Why waste a Million for Phone, wakati hauna Usafiri??.

Ndio maana mkuu nikakuuliza gharama ya hiyo simu inalingana na gharama ya gari?

Vipi gharama nyinginezo za kulihudumia hilo gari au huo usafiri baada ya kuununua zinalingana na matunzo ya simu?
 
Hapa si ongelei Preference, Katika angle ya Kiuchumi, Why waste a Million for Phone, wakati hauna Usafiri??.


Kwa hiyo wewe mtu akipanda daladala maana yake Hana usafiri?

What if kaacha ndinga yake garage?

Mkuu,think as if there is no box!

Hata hivyo kila mtu ana priorities zake na Ni haki yake kuamua aanzie kipi.
 
No! sio same dude. Unakuta Mtu yumo ndani ya Usafiri wa Maana na yupo comfortable na Kinokia cha Toch. Then una mkuta mtu ndani ya Daladala Tena kasimama, anachart na Sumsung Galaxy note III.

I don't get a clearer Picha Here!

Itakuwa ya mchina hiyo
 
Nilitaka sema hivyo hivyo.

Gharama ya Note III inatosha kununua gari?

Kama ni ndio basi una haki ya kumshangaa huyo mpanda daladala...

Btw usafiri wa daladala haumaanishi maisha ya mtu ni ya kiwango duni.
 

Kwa hiyo wewe mtu akipanda daladala maana yake Hana usafiri?

What if kaacha ndinga yake garage?

Mkuu,think as if there is no box!

Hata hivyo kila mtu ana priorities zake na Ni haki yake kuamua aanzie kipi.

Kaka, vya kunyonga vya kunyonga tu, vya kuchinja ni vya kuchinja tu! Wapanda mikoko hawapandi daladala. Taksi zipo kwa ajili yao!
 
Back
Top Bottom