Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yeye alikuwa mwanajeshi katka kambi ya jeshi ya nyamatare-musoma mjini kwenye miaka ya 1980, na ni mtu wa mtwara, kwa bahati mbaya mama yake hakuwahi kumweleza jina la huyo baba yake ila mama wa...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Habari za Easter Monday wana MMU,natumaini ni bukheri wa afya Kwa mara ya kwanza naandika uzi katika jukwaa hili ambalo kwangu mimi naliona jukwaa muhimu sana lenye kufunza katika kujenga msingi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Yaani kila unapopita hapa mtaani, kila mwanamke awe M-mama ama binti, awe mke wa mtu au dada poa ni Mwendo wa C.h.u.p.i ndani na khanga nyepesi juu, halafu kila akitembea anakuwa anaifungua fungua...
5 Reactions
123 Replies
51K Views
Heshima kwenu wadau, Kutokana na ugumu wa ajira nimeona bora nianzie hata na kazi ya ulinzi ili niweze pata angalau senti ndogo ndogo za kusogeza maisha huku nikiendelea kutafuta kazi zenye...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
nashukuru wana JF kwa ushauri nimeufanyia kazi ume-work
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Natumaini mko salama wana jukwaa. Jamani katika kusherehekea sikukuu ya pasaka jana,nilikua kiwanja flani tunapga stori na washkaji na kamvua kwa mbali. Sasa akaja binti mmoja karibu na meza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MAHABA NIUE,KICHWA KUUMA,MIGUU KUTETEMEKA. Unakuta kuna babe umempenda sana na unakuwa na hamu ya kuchat nae kwa sms au hata whatsapp. Tatizo ni chat zake. ukimtext mambo yeye anajibu poa na...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Ikiwa kama utamkuta mama ako na mke wako wapo ktk hali mbaya,na unatakiwa umsaidie mmoja wapo kati yao utamsaidia nani?
0 Reactions
71 Replies
8K Views
habari za umu wana mmu Baada ya kuamua kua na mpenzi wangu huyu kwa shida na raha na kujiahd moyon kwangu kua wil neva leave her side,,,,kioja kimekuja baada ya mm kupangiwa kikaz jijin mwanza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana MMU? embu leo kila mtu atuambie kero ambazo hukutana nazo msimu wa Sherehe. Eg.dear naomba elf 50 ya saloon.elf 25 ya kusafisha kucha..
1 Reactions
58 Replies
4K Views
kwanza nianze na simulizi kidogo; Kuna dada amezaa mtoto 1 na mume wa mtu,na jamaa alimtelekeza. Sasa jinsi huyo dada anavyomtunza inashangaza mtoto wa mwaka 1,akijisaidia anapata kipigo na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimeona mara nyingi tu wapenzi wakikumbatiana au watu wanaofahamiana wakikumbatiana na furaha inayoonekana kwenye nyuso zao Kumbatio ni tendo la furaha na upendo ,tendo lenye kuleta muunganiko...
4 Reactions
125 Replies
20K Views
Kila siku naona matangazo ya kutafuta mchumba ! Je kuna waliowahi kufanikiwa kumpata atakaye?? Je waliwahi kuleta shuhuda humu na kuishukuru JF love connect! Hebu fungukeni....
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ama kweli mke wa mtu ni sumu kali sana. Jamaa mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu kwa mda mrefu kabla mme wa mke hajagundua. Sasa baada ya mda kupita, alipata taarifa kuwa kuna jamaa anamla mke...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Kijana badala ya kujishughulisha na kazi unakaa unawaza mademu mda woote ni mapenzi mchana kutwa unatunga tunga tu sms za mapenzi ww unamiaka 26 unakuwa na sura mzee wa miaka 76 kisa kuwazawaza...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nilikupenda sana Emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia...
5 Reactions
105 Replies
14K Views
Hivi hujawahi kukaa na kufikiria kidogo kuhusu wazazi wako? Kila wanachokifanya kukuhusu wewe ni kwaajili yako. Na hata kama kuna mahali wanakukosea au wanakosea bila kujua, kuna haja yoyote ya...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
imekuwa ngumu kujadili na kuwa na maamuzi sahihi juu ya matatizo na maafa yanayowakumba watu katika urafiki na mahusiano,basi kwa wenye kutumia whatsapp ni bora kujadili na kujifunza pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu nimekuwa nikiona teknolojia ya kutumia kimtambo kinaitwa handsome up kwenye gazeti la uwazi kazi ya kimtambo hiki ni kurefusha na kunenepesha uume bila kutumia kemikali je kinasaidia au...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…