Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Je umeshawahi kuwa na mashaka yeyote kuhusu kuoa? Jeunafikiri haupo tayari kuoa? Kama majibu ya maswali haya ni NDIO, basi zingatiamasuala yafuatayo, ambayo yatakusaidia kutambua kama upo tayari...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mimi ni msichana mwenye miaka 24 nina mtoto mmoja mdogo,baba yake alifariki mtoto akiwa mchanga.Najiuliza sana nitaweza kupata mume atayempenda mwanangu kama baba yake mzazi na ndoto zangu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Inawezekana kabisa kuna watu ni wanawake kwa jinsia zao halisi lakini wanajibehave kama wanaume kwa jinsi wanavyocomment, wanavyoandika au hata wakati mwingine kukiri kuwa wao ni wanaume...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mie ninamchumba wangu ambae nimedumu nae takribani sasa miaka 5.Tulianza mahusiano mie nikiwa nimemaliza kidato cha sita yeye cha nne,nikaenda chuo kikuu yeye akaenda advance level lakini...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Mapenzi hunogeshwa na vitu vidogo vidogo mno busu kulishana kupeana pole nk wengi wetu huvidharau vitu hivi lakini vina nguvu kubwa mno kwenye kujenga mahusiano imara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Utafiti unaonyesha kuwa jinsi mnavyolala na mwenzio inaonyesha jinsi gani mahusiano yetu yalivyo na nguvu on the other side of the bed, facing the wall? Umbali baina ya wapenzi, utafiti...
7 Reactions
128 Replies
18K Views
Sijui nichukulie powa powa tu niendelee naye au nimuache. Leo nilitoka naye kwa grocery jirani na ninapoishi pande za kigamboni. Wakati tupo kwenye maongezi akanishika kama kunistua hivi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
naomba mnijuze mume asubiri muda gani ndiyo akutane kimwili na mkewe aliyejifungua salama?Nipeni jibu tafadhali
0 Reactions
65 Replies
13K Views
Kwa wale wanaaopata baati ya kufutwa au kupendwa na mademu ni raha sana akikupenda anakupenda hasa bola hata anywe sumu mmmh kuliko wewe umpende yeye hii ni kweli kubwa
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Mara nyingi kwenye uhusiano mwanamke akitangulia kumuacha mwanaume huwa hamna tatizo lakini sasa mwanaume amwache mwanamke ndo kunakua na kimbembe lazima lijengeke bifu na hata mkikutana no salamu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Siku hizi imekuwa kawaida kwa baadhi ya vijana wanapokuwa mashuleni wanatafuta wasichana baada ya hapo wanawapa mimba na akigundua aliyefanya nae mapenzi ana mimba basi msichana huyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari yako ewe dada au kaka. Kwa wakubwa kwangu shikamooni. Ni salamu tu! Nawapenda nyoote, ila dah!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu jaman Sikukuu ilienda poa sana kwa upande wangu vipi kwenu nyie? Jus ni ushauri tu jaman,, Maisha yashakuwa mafupi haya kila siku watu mnalalamika kutendwa sijui kufanywaje mnalia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
》Ukifuatilia kwa makini WANAWAKE WENGI WAMEPOTEZA UHAI wao na bado wengi wanazidi kuangamizwa na wapenzi wao sababu kuu hizi... 1/ Wako ktk ndoa...halafu mke NI MCHEPUKO sana hapa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari, Niko Sweden ; na ningependa kupata msichana mstaarabu, mwenye kujitambua na mwenye empathy na maisha, awe hapa Sweden ama karibu tu na Sweden as long as tukiridhiana nitashukuru na pia...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakuu JF. Mahusiano mengi au ndoa yanaweza kuanza vizuri lakini baada ya muda yanavunjika.. Hili limekuwa ni tatizo ambalo limewasumbua watu wengi sana wengi wamejikuta wakihaha huku na kule...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Kundi la p square hatimae limevunjika kundi hilo la wasanii mapacha Peter na Paul limevunjika rasmi huku sababu zikiwa ni wanawake walio waoa hivi karibu wametia fitina zao.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Umeenda kijiji kuwatembelea wakwe wewe na mwenza wako, wakati wa kulala mnapewa chumba cha katikati ambapo chumba cha kulia ni wakwe na cha kushoto ni mashemeji Mbaya zaidi nyumba...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Hili mimi nimelithibitisha kabisa kwenye ndoa, kwamba ni tasnia pekee ambayo unapewa cheti bila kusoma halafu mitihani ndio inafuata
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Shikaooooooni wakubwa na wadogo !!!!! Nakaa nawaza nini tatzo ?? Sipendi !!! Moyo wa kupenda upo neiiii yani kama ni gari alternator haifanyi kazi so betri inakufa muda wowote tu gari ikienda...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…