Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,525
- 185,663
Habari za mliko kwa wakati huu???
bibie sina mengi zaidi ya kuwakumbusha kuwa ni kwa neema tu kuifikia siku hii tukiwa hai.
Basi na tuwakumbuke wenye shida na matatizo mbalimbali kama wagonjwa, wenye njaa , wajane na wengineo japo kwa dakika chache tu ili mungu awabariki na kuwapa matumaini.
Poleni na majukumu na weekend njema.