Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,617
Ni mgogoro wa kifamilia, baba hana kazi, mama ni mjasiliamali ndo mwenye kuitunza familia na kusomesha watoto, tatizo kubwa baba hataki mke wake afanye kazi hadi usiku, akichelewa anafungiwa nje hivyo analazimika kurudi dukan kulala huko, hali hiyo ilipozid baba kaanza kuhudumiwa na hg, mama kajua na hajachukua hatua yoyote anaomba ushauri, wanandoa toeni ushauri wenu.