@arusha,baba mngoni,mama mchagga.
pamoja na kwamba sijaolewa ila sitomfikisha mume wangu kwenye kadhia hii.
Iko hivi:
baba anaendesha gari nzuri (Harrier), ana nyumba nzuri na kubwa, second line bosi katika idara flani, ngozi imetakata ila kila ajapo kazini nguo zimejikunja, vifungo vingine havipo,viatu inaonesha vimefutwa kwa kitambaa na siyo brush,
Huyu baba kapata ajali karibu na hapa kazini ikawa amezimia wakaitwa manesi (jengo letu limepakana na dispensary) kwa ajili ya kutoa huduma ya kwanza.
Confidential: Walipomfikisha chumbani walimvua baadhi ya nguo (nguo za juu) ikawa vituko.Bukta ina matobo, boxer ni mpyaaaa ina kikaratasi chake cha lebel pembeni, soksi hazifanani,sealand imechokaa yaani havifanani naye hata kidogo.Manesi wakaanza kusemeshana huyu bosi hana mkee,hana mkee.
My take:::Hivi ni kweli wamama wako bize saaaaaaaana kukosa muda wa kujua mume atavaaje???Mbona jmosi tunajazana kwenye miharusi na mihuso mingine mingine????kweli tumebakia kunenepa