Habari,
Weekend hii nikiwa nimepumzika nikitizama filamu kwenye luninga,nikaona part ambayo imenipa maswali,wapendanao walifunga ndoa kisha kawaida bride(bi harusi) kabla ya kuondoka na mumewe...
WanaJF kuna jambo linanisumbua naomba ushauri,kuna Shemeji yangu kamuoa dada yangu wa Kwanza ni kikabila ni Mluguru kazi yake Mchungaji,tabia zake zimevuka mipaka anapenda Makuu na kutawala sasa...
Ngoja ni share nanyi maswahibu yaliyonikuta leo hii.
Basi hapa mtaani kuna mdada mkimyaa na mpole. Yaani hanaga stori na wanaume asee, mpaka mtaani masela hawampendi wanadai anaringa.
Basi mi...
Tunapo ongelea haki, ni kitu tulicho zaliwa nacho.
Kila mtu ana haki ya kutunza siri zake bila kujalisha ni siri za namna gani.
Sidhani kama ndoa ni kihalalishi pekee kuvunja haki hii.
Utakuta...
Ndio kama mwezi nimemalizia kujenga nyumba yangu ya vyumba viwili na sebule + choo na jiko self container mbezi kutokana na ubize wa kutafuta pesa hukuhuku nilkua mbali sana na mapenzi nikiwa na...
Habari za masiku mengi
Naamini mko wazima tunaendelea salama na ujenzi wa Taifa
Kama nilivyowahi kuandika mikasa yangu hapa pamoja na mume wangu kunitenda sana pamoja na kunisaliti sana pamoja...
Jumamosi ya wiki hii kijana wa kaka yangu anafunga ndoa, mimi kama baba mdogo, nimepewa jukumu la kutoa nasaha, na hapa nimejaribu kwa haraka haraka kuandika nasaha nitakayoisoma siku hiyo ya...
Wanajifanyaga wagumu na wakikubali wanakwambia nimekukubali wewe tuu, mkiingia gesti wanasemaga ndio mara yao ya kwanza, kuvua pichu mbinde, wakati wa pre-match wanajifanya kubana miguu...lakini...
Habar humu ndan.naomba msaada wenu tafadhal.natafuta hotel nzur ambayo pametulia na wanapiga mzik wa taratibu.kwan nimetoka kutendwa mwenzenu.ngoja niwape story.nilikuwa na mpenz wangu ambaye...
Tunapiga naye box hapa kwa wahindi, wote tunatumwa tumwa tu. Namheshimu kama sister na pia naona anapete ya ndoa. Salamu ya asubui kama kawaida yangu ni Hi, hamna shikamoo.
Wazee wa getini huwa...
Naamini naongea na watu wa rika mbalimbali kwamba vijana na watu wazima wenye familia basi kama mada inavyojieleza niko hapa kuwaambia vijana na wazazi kuwafundisha watoto na vijana na hata watu...
Marafiki,
Nilikuwa najiuliza hapa, ni jinsi gani naweza kuwa mod wa jf hasa jukwaa la mapenzi. Inatakiw nijue sana mapenzi au? na vigezo vingine hasa ni vipi? Kwa anayefahamu tafadhali, Asanteni
Ndugu wana MMU nawasalimuni wote, poleni kwa majukumu. Nakuja na ujumbe huu jioni hii. Nawaombeni msamaha wale wote nilowakosea aidha kuwaudhi au kwa kukwaruzana katika nyuzi mbalimbali nilipokuwa...
Katika kutathmini juu ya utaratibu wa Ufungishaji ndoa hasusani katika makanisa ninajikuta nina maswali kadhaa ambayo nimeona si vibaya nikawashirikisha ili kubadilishana uzoefu na kuongezeana...
Ukiachilia mbali mahusiano ya kitoto wakati wa ukuaji - kabla ya kuanza shule ya awali/msingi, wakati ukiwa shule ya msingi au sekondari hasahasa ukiwa O-level na pengine A-level, mahusiano...