Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau leo napenda niseme juu ya suala la Mavazi ya kutega watu(mavazi yasiyo na staha) hasa kwa waajiriwa wa Umma.Nimeweka picha hapo juu kama kielelezo cha askari wa kike nchini Kenya,lakini hata...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndo nafika kutoka job, mke wangu yupo ndani na wife, wamegoma kufungua mlango. Nimempigia mama simu huko mkoani, pia naondoka, nahitaji mapumziko na faraja, hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwangu.
0 Reactions
55 Replies
5K Views
1. You have been to a party where at least two of your friends brought their wives 2. You've uttered the phrase 'I'm too old for fiesta' 3. Weekend nights: Instead of having 8 drinks at four...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto...
0 Reactions
117 Replies
9K Views
Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Wadau hivi majuzi kuna takwimu za TACAIDS zimetolewa kuhusu mahusiano na maambukizi mapya katika mkoa wa Tanga,takwimu hizo zinaonyesha mambo yafuatayo; 1.Asilimia 75 ya wanaume wa Tanga wana...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Nimekuwa na mke wangu zaidi ya miaka 8, tuliishi kwa maelewano ijapo hakuwa sana, maana mtazamo wa mwenzangu inaonekana haikuwa m2 mwenye kipata cha kawaida namaanisha kuanzia 600,000 kuja...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanasaikolojia wanasema kuwa kila tendo analofanya mtu lina sababu zake, haijalishi iwe nzuri au mbaya, Kauli hiyo inanifanya nijiulize sababu ya wasichana/wanawake kuamua kuvaa nguo fupi(min...
1 Reactions
51 Replies
13K Views
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada...
1 Reactions
78 Replies
9K Views
Ni haoo....! Nawasalimu wana MMU wote! Tuanze wiki na mambo chanya...leo tuzungumzie UTANI(Jokes) kwa wana ndoa na hapa nagusia zaidi kina baba mana hali si ya kuridhisha kwa upande wao zaid...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Naishi Dar. Wakati flani nilienda A-town kikazi, demu wangu akanifuata. Kwa mara ya kwanza kwenye uhusiano wetu (wa mwaka mmoja) tuka-sex kavukavu. Wiki moja baadae demu akaniambia ana mimba...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Hebu fikiria, umetoka na mkeo kwa ajili ya mlo wa jioni. Mgahawa ni mzuri uko pembezoni mwa bahari. Upepo mwanana unazifurahisha nyoyo zenu. Mnakumbushana milima na mabonde mliyopitia. Mnacheka...
2 Reactions
149 Replies
29K Views
Habari wana JF... Baada ya maumivu makali ya kipindi cha mda mrefu na mateso...sasa nimeamua kujituliza sehemu ambayo kweli nimependa,.najisikia upendwa,nasikilizwa na kudekezwa pia hamna...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
Sisi wanaume unaweza kuwa na mchepuko ila mkeo asigundue chochote unahudumia familia kama kawaida na huoneshi tofauti yeyote lakini wanawake akianza kuchepuka ni balaa, kiburi,nyodo, dharau kwa...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
wanajamvi naombeni mnishauri nifanyeje! Mimi ni kijana mwenye miaka 26! si expert saana katika sector ya mapenzi! ila nina tatizo moja! huwa nikiona mwanamke ameng'ata ulimi wake! au ametoa ulimi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
HABARI WA MMU. Iko hivi,mke wa mtu fulani,mume kasafiri kwa masomo kwa miaka 2 oversee. kuna mdogo wa mume anaishi pale kumpa tafu shemejie kwa dharula ndogo ndogo.Baada ya miezi 6 mke ambae ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajanvi, sijakosea kuweka uzi huu hapa, ndo hisia zangu zilikonipeleka. Mimi nipo zangu mikoa ya nyanda za juu Kusini, jana nimefikia kwa ndugu yangu mmoja, kufika pale nakutana na mgeni...
7 Reactions
85 Replies
17K Views
Habarini wana MMU? Nina jambo ambalo nimekuwa nijiuliza sana na kutafutia majibu bila kujua majibu sahihi ni yapi hasa na hivyo kuamua kulileta swala hili humu mmu. Swala lenyewe ni hili...
6 Reactions
154 Replies
12K Views
Jamani wana mmu memba mwenzetu miss chagga anaumwa malaria inamsumbua sana maombi yako muhimu
3 Reactions
91 Replies
5K Views
Just because you have problems in your marriage doesn't mean your marriage is over. No marriage is without problems. 100% of all marriages face problems. If you meet a couple that says they...
3 Reactions
1 Replies
810 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…