Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TABATA October 06, 2009 Siku ya Jumanne. Background: Nilikuwa nimemaliza zangu chuo MUCCoBS kozi ya BAF na kufanikiwa kupata GPA nzuri tu ya 4.2. Nilikuwa na matumaini na ndoto nyingi za...
23 Reactions
181 Replies
17K Views
Kijana wa watu, nimejituma, nimejitutumua, nimefanya mautundu yangu yote, unakaribia kupanda jukwaani, unapiga makelele, mijasho inakutoka, macho umeyatoa utadhani umeona jini anambusu malaika...
26 Reactions
104 Replies
16K Views
Infi (hasa jinsia me) muwashukuru sana watengenezaji wa ze valuu na ze konyegi maana zinawasaidia sana kwenye ku du ze nidi fulu mana bila hizo wengi wangekuwa wanaadhirika uongo?
0 Reactions
47 Replies
4K Views
hii stail ya vijana wa kiume kusuka nywele au kutia dawa kama watoto wa kike inaleta kinyaa sana, mambo mengine kuiga hayafai siku ukinyatiwa usije ukashangaa
0 Reactions
38 Replies
4K Views
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal...
2 Reactions
80 Replies
14K Views
Siku kikieleweka mtaa mzima mtajua, mtarushwa roho mwanzo mwisho, akiamka saa nne ataenda sokoni akirudi kanunua samaki, nyama steki na maini nk atajipikisha vyote hivyo nje ya chumba chake tena...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Hi wana JF! Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari za jumapili wapendwa! Najua hata kwenu wapo hawa wadada! Wana mvao fulani wa kuvaa kitenge tu na PICHU hasa wakiwa katika mazingira ya kalibu na nyumbani na shughuli zao, mara nyingi...
0 Reactions
76 Replies
14K Views
Habari za saa hizi ndugu zangu,ni mara nyingi nmejitokeza hapa mtandaoni nkiomba npate mke mwema mtarajiwa through 0715 406010 but imeshindikana kumpata@naomba ushauri ndugu zangu ni njia ipi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana MMU, Muda mfupi ujao nitakuwa nikiingia chumba cha upasuaji,nasumbuliwa na uvimbe kwenye utumbo mpana. Tafadhali naombeni maombi yenu wana MMU wote mwenyezi Mungu awe...
10 Reactions
165 Replies
12K Views
Yo! analogia hapa... Sex: Male Age: 20+ yrs Weight: 60+kgs Height: 5.8 ft Body size : Slim Color: Black ( sio black kama mjaluo) Nationality: Tanzanian Religion: Love ( born christian) Interest...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Habari wanaJF, katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Najua mu wazima, Umenipendea nini? Ni moja ya maswali ambayo sipendi kuulizwa na mpenzi wangu, Je wewe hupendi swali lipi na unapenda lipi?
0 Reactions
237 Replies
31K Views
Wana MMU, Kuna dada mmoja tunafanya naye kazi, sasa cha ajabu ananilazimisha niwe namwamkia shikamoo wakati nimempita na kama miaka miwili hivi, nikiacha kumwambia shikamoo ananuna siku nzima na...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Good day my dear,How are you doing???,I hope fine.I am more than happy for your reply to my email.How was your day? Now i will like to explain more to you in details,due to my critical condition...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hii itakuwa jumapili kwa jiji la dsm mahali ni diomond jubilee na Arusha itakuwa jumanne hii tar 6 may 2014 wote mnakaribishwa muhimu: fika na vyeti halisi vya ugonjwa na hati ya kusafiria nawasilisha
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Am coming from far looking for a beautiful lady aging 20 to above. Am 30 old. She should be a christian. For more details just pm
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Wanawake wa sasa hawajiamini kabisa kwenye ndoa na mahusiano yao kutwa kucha kwa waganga kutafuta madawa, yaani wanaume tumekula sana hayo mauchafu yao sasa sijui tatizo ni nini? au wanaume...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu wana JF. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 30 - 35. kutoka mkoa wa iringa, mbeya na Rukwa aliye na nia wasiliana nami wasulwawenga@gmail.com au PM
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom