Wadada kwanini mnatuvalia hivi jamani!

Wadada kwanini mnatuvalia hivi jamani!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Habari za jumapili wapendwa!

Najua hata kwenu wapo hawa wadada!

Wana mvao fulani wa kuvaa kitenge tu na PICHU hasa wakiwa katika mazingira ya kalibu na nyumbani na shughuli zao, mara nyingi tunakutana na wadada hawa wanaenda sokoni, dukani au kuchota maji wakiwa na dizaini ya huu uvaaji. Tena wanapita mbele za watu kabisa! Kiupepo kikiipuliza kanga kidogo anaanza kuhangaika kuirudisha! Mmmh wengine huko nyuma ni balaa halafu kavaa vile, acheni izo bana mnatuumiza wenzenu bana acheni basi kwanini mnapenda kuvaa ivo lakini?
 
mshana jr ashailetaga hii mada

inaonyesha ni tatizo mimi napenda kuvaa suruali nikiwa mazingira ya home
 
mshana jr ashailetaga hii mada

inaonyesha ni tatizo mimi napenda kuvaa suruali nikiwa mazingira ya home

ni tatizo Kubwa wadada wengi wakidhili kwa huu uvaaji kabisa!
 
surual hom jaman na joto lote hili!..hahah bora kanga moko upate upepo kotekote

nikienda dukani
au gengeni

ila ndani nabakigi na nguo moja tu

ILE INAKUAGA YA KWANZA KUVAA UKITOKA KUOGA
 
Tunawaumizaje

big-beach-booties-10-728x1024.jpg
 
Habari za jumapili wapendwa!

Najua hata kwenu wapo hawa wadada!

Wana mvao fulani wa kuvaa kitenge tu na PICHU hasa wakiwa katika mazingira ya kalibu na nyumbani na shughuli zao, mara nyingi tunakutana na wadada hawa wanaenda sokoni, dukani au kuchota maji wakiwa na dizaini ya huu uvaaji. Tena wanapita mbele za watu kabisa! Kiupepo kikiipuliza kanga kidogo anaanza kuhangaika kuirudisha! Mmmh wengine huko nyuma ni balaa halafu kavaa vile, acheni izo bana mnatuumiza wenzenu bana acheni basi kwanini mnapenda kuvaa ivo lakini?

Weka picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom