ndoto ni mrudisho wa mawazo,maongezi au matendo yako uliyoyafanya mchana kutwa kwa siku hiyo,fanya uchunguzi,piga sana stori fulani na wenzio siku moja halafu usiku utajikuta unaota yale maongezi na jamaa zako au unaota unafanya mambo mliyoyaongea na jamaa zako au kama ukiwaza sana kuhusu kitu fulani ni rahisi kujikuta usiku ukiota kile ulichokuwa unakifikiria.
Kwa hiyo nikikutongoza mchana ukanipiga chini, usiku ntaota umekufa?
haaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaaa my babu banah umeanza na vituko asubuhi yote hivi?kabala sijajisahau na maneno mengi shkamoo babuuuu halafu back to the topic sasa,ni hivi ukiniaproach mchana jua mi usiku naota umeniaproach nimekukubali afu tunaenda dinner wote,upo hapo?umenielewa sasa?
ndoto ni mrudisho wa mawazo,maongezi au matendo yako uliyoyafanya mchana kutwa kwa siku hiyo,fanya uchunguzi,piga sana stori fulani na wenzio siku moja halafu usiku utajikuta unaota yale maongezi na jamaa zako au unaota unafanya mambo mliyoyaongea na jamaa zako au kama ukiwaza sana kuhusu kitu fulani ni rahisi kujikuta usiku ukiota kile ulichokuwa unakifikiria.
ndugu wana jf. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?
Ndugu wana JF. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?
Shkamoo ntaiitikia Chalinze.
BTT kwenye hiyo ndoto ukipata mimba binti yetu tutamwita nani?
Sio kweli maana kuna watu huwa hawaoti yaliyopita