Wadau naomba kuuliza!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,
but as time went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa...
Nilimwacha mke wangu akiwa na ujauzito mdogo na kwenda zangu masomoni kwa muda wa miezi kadhaa nje ya nchi. Lakini kabla ya kuondoka tulikubaliana tumtafute binti mmoja wa kazi ili wasaidiane pale...
Usipoangalia utakuta kila kukicha unabadili wapenzi kama nguo kwakuwa hakuna aliekamilika kila mtu ana mapungufu. Sio unafumania mara moja basi unaacha au unaona msg kwenye simu unamuacha oooho...
Habar za shughuli wadau katka safu hii, nahtaj mchumba, bdae mke wa maisha
SIFA
. Awe na umri usiozid miaka 27
.kabila lolote na rangi yeyote
. Asiwe mwepesi wa kukasirika
. Afu awe na uvumilivu...
Mi binafsi nakerwa sana ninapo yafanya haya mambo;
1.kuchana nywele
2.kukata kucha za miguuni
3.kuvaa soksi
4.kuamka usiku na kwenda kukojoa
5.kuamka usiku na kwenda kumfungulia mtu mlango...
Kuna aina ya uvaaji umeibuliwa na wakina dada/mama, aina hii ni ile ya kuvaa suluari au pensi alafu juu anavaa fulana ya kubana na anachomekea. Kwa kweli binafsi japo mimi ni mwanaume sina ujasiri...
Habari ya muda huu wanajamii,leo ni siku njema ya jumapili tumshukuru Mungu Jehova Shama kwa kutuamsha salama kwa walio wagonjwa tuwaombee kwa Mungu awajalie afya njema,kama ilivyodesturi ya...
Kauli tajwa hapo juu imekuwa ikisikika sana. Pale watu watoapo ushauri kuhusu jinsi ya kudumu na umpendae utasikia wanakwambia usipende sana.
Najiuliza hii kauli huwa ina maana gani. Je ni kwamba...
Nina miaka 42 mwanamke ana 41. Miaka14 amekaa na mwanamke na mtoto sasa ana miaka 13. Alipofika darasa la 3 alimwandikisha kwa jina la bwana wa zamani.
Nimevumilia miaka10 sasa nimechoka.
Yeye...
Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa...
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenz wake chuoni Mbeya, alikuwa anamtangulia mwaka mmoja.
Baada ya kumaliza chuo jamaa karud home mwanza na kumwacha mpenzi wake akiendelea na masomo ambapo nae...
Jamaa juzi siku ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards alikuwa kama vile anatania lakini vile vile alikuwa anaboa sana, hata kama ni msanii hapana alikuwa too much,
Alimwambia mama mmoja kuwa...
Habari za saa hizi!
Wanajamvi, Leo nimeona vyema nizungumzie swala la mapenzi ya Ndoa kwa undani kiasi.
Waswahili wanasema ndoa nyingi ni Tamu sana mwanzoni lakini zinapoendelea hufikia Uchungu...
Nimeishi maisha ya kupambana mwenyewe kwa muda sasa na kusababisha nifike nilipo leo hii.
Nimekaa nikatafakari tafakari ya muda mrefu nikaona kwa kipindi hiki chote nilichoishi na kupigana...
Nina miaka 25 mweupe mrefu kiasi na najiheshimu nahitaji tu company ya any beutiful girl Najiandaa kwenda kwa hotel fulani kupoteza mawazo week imeanza na stress my girlfriend kanitenda.
Just thought I should give updates regarding my topic and the feedback i received.
Ni washukuru sana wote mliotumia mda wenu kunishauri, both the advices and criticism were most welcomed.
I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.