Kwa nini wanawake wanalia sana msibani?

Kwa nini wanawake wanalia sana msibani?

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,472
Reaction score
1,582
Habari wanaJF,
katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia hata km marehemu ni mtu.wa karibu sana kwao,chakushangaza kwa upande wa pili akina mama au wanawake huwa wanalia sana msibani,tena kwa sauti kubwa km watoto wadogo!
Je,sababu kubwa ni ipi inayowafanya wanawake kulia sana kuliko wanaume?
je,kuna sababu ya kisayansi inayotofautisha haya mambo?
Naomba mawazo yenu wakuu.
 
subiri ufiwe na mtu wako wa karibu kuliko wote ndo utajua kumbe na wanaume huwa wanalia
ishawahi kunitokea kaka nikiwa form 4,lakin sikulia japo ilinithiri sana kisaikolijia mkuu
 
ishawahi kunitokea kaka nikiwa form 4,lakin sikulia japo ilinithiri sana kisaikolijia mkuu

kulia kunasaidia kupunguza matatizo kama hayo na uchungu, usifikirie watu wanapenda kulia mkuu!!
 
wanawake tuna huruma sana ikiwemo mim

HADITHI ZA MZIZI MKAVU TU ZINANILIZA
 
wanawake kulia inawapa comfort after kwa wanaume ni tofauti tunayo roho ngumu
 
Wanawake hawawezi kuvumilia hali ya ugumu inapowatokea, nadhani kuna sababu za kisayansi ukifuatilia. Mwanamke inakuwa tamu sana ikilia kwenye ile mambo ya chumbani, mimi penda sana kuona ikilia
 
Baada ya ADAM&EVE kumuudhi MUNGU pale edeni kila jinsia ilipewa adhabu(laana) yake kivyake. Me atashiba kwa jasho lake na KE atazaa kwa uchungu+machozi. So usiwashangae akina mama kububujikwa na machozi kwani hawajapewa roho ya kaba kuzuia simanzi na huzuni tofauti na mwanaumme.
 
It has to do with biological facts(hormones)...they are too emotional. ..
 
Habari wanaJF,
katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia hata km marehemu ni mtu.wa karibu sana kwao,chakushangaza kwa upande wa pili akina mama au wanawake huwa wanalia sana msibani,tena kwa sauti kubwa km watoto wadogo!
Je,sababu kubwa ni ipi inayowafanya wanawake kulia sana kuliko wanaume?
je,kuna sababu ya kisayansi inayotofautisha haya mambo?
Naomba mawazo yenu wakuu.

Jiulize kwa nini wanawake wanaishi maisha marefu kuliko wanaume?
 
Back
Top Bottom