Scoan team ndani ya Tanzania

Scoan team ndani ya Tanzania

uteu

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
38
Reaction score
7
hii itakuwa jumapili kwa jiji la dsm mahali ni diomond jubilee na Arusha itakuwa jumanne hii tar 6 may 2014 wote mnakaribishwa
muhimu: fika na vyeti halisi vya ugonjwa na hati ya kusafiria
nawasilisha
 
ya kesho tar 4 sina uhakika kama tb joshua atakuwepo may be mawise men wake leo alikuwepo kwenye prayerline uhakika kesho tukimuona kwenye sunday ser vice
 
: Jembe: mm mwenyewe mjumbe maswali gn hayo acha mzaha kwani kila post lazima kujibu??
 
Hati ya kusafiria kwenda mbinguni??
 
Maskini si wa Kigoma, sijui nikimbie Arusha.
 
hii itakuwa jumapili kwa jiji la dsm mahali ni diomond jubilee na Arusha itakuwa jumanne hii tar 6 may 2014 wote mnakaribishwa
muhimu: fika na vyeti halisi vya ugonjwa na hati ya kusafiria
nawasilisha

Tunashukuru kwa taarifa
Ila ushaur next time ukiwa kama mjumbe uliyetumwa jitahid kuwa na taarifa kamili...
Ni nani atakayeongoza wise men, mwenyewe T b Joshua or wainjilist...umetaja eneo ila hujasema ni kuanzia SAA ngapi.
 
Wanakuja vijana wake kwa ajili ya registration kwa wanaotaka kutembelea scoan. Leo watakuwa Diamond. Kesho kutwa watakuwa Arusha, Snow Crest Hotel
 
Back
Top Bottom