Matiti makubwa!

Matiti makubwa!

Powel Mizengo

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
126
Reaction score
24
Wadau naomba kuuliza!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,

but as time went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa Kinachonichanganya zaidi ni pale washikaji zangu wanavyowadis wenye mtindi!

Nini maoni yenu wadau katika hili?

I mean,ninyi wenzangu mnawachukuliaje wenye matiti makubwa!?
 
...takataka nyingine tunatafutiana ban tu...
 
Wadau naomba kuuliza!!!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,but as tym went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa!!!Kinachonichanganya zaidi ni pale washkaji zangu wanavyowadis wenye mtindi!!!!Nini maoni yenu wadau ktk hili!!! I mean,ninyi wenzangu mnawachukuliaje wenye matiti makubwa!!!????

umekuwa sasa.
 
Tunawachukulia kama watu wa ajabu, hivo wapelekwe majumba ya maonesho....

samahani dada naomba nikulekebishe kidogo.waswahili wanasema hujafa hujaumbika.
plz usishangae wala kudis maumbile ya mwenzako.huwezi jua lililopo mbele yako kama si wewe basi mwanao anaweza kuwa hivyo.je utampeleka kwenye jumba la maonyesho???..
na wao hawapendi kuwa hivyo lakini aliyewaumba anasababu zake.ndo maana nao hawakosi watu wa kuwapenda kama huyu mleta mada..usimcheke mtu kutokana na maumbile yake.
 
Wapi umeona kicheko, unajuaje kama mimi sina nyonyo la haja hebu pisha naongea na mwenye thread
 
sawa dada samahani kwa kukuingilia.nimtazamo wangu kutokanana ulichoandika.samahani sana.
 
Wadau naomba kuuliza!!!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,but as tym went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa!!!Kinachonichanganya zaidi ni pale washkaji zangu wanavyowadis wenye mtindi!!!!Nini maoni yenu wadau ktk hili!!! I mean,ninyi wenzangu mnawachukuliaje wenye matiti makubwa!!!????

Sidhani kama itakusaidia sana stick with what u wan't, kila mtu ana own feelings
 
kila mtu ni sawa kwa mtu sawa kwakwe
mi sikishangai nishaambiwaga na rafiki yangu mmoja wa kiume ANAPENDA WANAWAKE NAMBA 9
YAANI MANYONYO MAKUBWA NYUMA HAMNA MAKALIO MAKUBWA NA MIGUU MYEMBAMBA

ni kama sisi wanawake kina watu wanampenda mwanaume mwenye kitambi ka,a komba wakati mimi natamani kukipruni
 
Wadau naomba kuuliza!!!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,but as tym went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa!!!Kinachonichanganya zaidi ni pale washkaji zangu wanavyowadis wenye mtindi!!!!Nini maoni yenu wadau ktk hili!!! I mean,ninyi wenzangu mnawachukuliaje wenye matiti makubwa!!!????

Picha.
 
Tunawachukulia kama watu wa ajabu, hivo wapelekwe majumba ya maonesho....

Hahhhahhhhahhs ili watu waje washanhgae nyonyo kama yule bibiee nyonyo hizooooo kama ana tenda vileee
 
Mkuu tatizo wenye mtindi akizaa yatafika kwenye tumbo
 
Wadau naomba kuuliza!!!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,but as tym went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa!!!Kinachonichanganya zaidi ni pale washkaji zangu wanavyowadis wenye mtindi!!!!Nini maoni yenu wadau ktk hili!!! I mean,ninyi wenzangu mnawachukuliaje wenye matiti makubwa!!!????
Fresh tu, mimi mwenyewe nilikuwa napendaga English figure lakini siku hizi huniambii kitu kwa mabonge.
 
Wanaume kazi sana kila mtu na chaguo lake Leo unapenda matiti...kesho utasema hips I....kesho kutwa makalio at the end unajikuta unaoa mwanamke wa kawaida hana hat kimojawapo
Hao ndo wanaume

hahahaahah usiku mwema.
 
Back
Top Bottom