Miaka10 analea mtoto si wake

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Nina miaka 42 mwanamke ana 41. Miaka14 amekaa na mwanamke na mtoto sasa ana miaka 13. Alipofika darasa la 3 alimwandikisha kwa jina la bwana wa zamani.

Nimevumilia miaka10 sasa nimechoka.

Yeye anadai mtoto ni wangu na anataka tuendelee kuishi.

Nifanyeje?
 
Njoo tena uandike kwa kirefu ueleweke vizuri pia huyo mtoto unaweza mlea kama yatima ikiwa hutajari sana kuepusha mivutano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom