Mahusiano magumu

Mahusiano magumu

Daty

Senior Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
126
Reaction score
13
Usipoangalia utakuta kila kukicha unabadili wapenzi kama nguo kwakuwa hakuna aliekamilika kila mtu ana mapungufu. Sio unafumania mara moja basi unaacha au unaona msg kwenye simu unamuacha oooho utabadilisha wapenzi kama nguo hadi utakoma.
 
Kwa nini ufumaniwe? Kwanini ukutwe na meseji tata? Hujatulia period! Na kupata wa kuvumilia hayo nani?Labda awe na moyo wa jiwe.
 
Ukute mpenz wako yupo na mtu mwingine usamehe ili iweje?...kufumaniwa sio mapungufu jidanganye tu
 
Usipoangalia utakuta kila kukicha unabadili wapenzi kama nguo kwakuwa hakuna aliekamilika kila mtu ana mapungufu. Sio unafumania mara moja basi unaacha au unaona msg kwenye simu unamuacha oooho utabadilisha wapenzi kama nguo hadi utakoma

Binti, jipange.
 
Usipoangalia utakuta kila kukicha unabadili wapenzi kama nguo kwakuwa hakuna aliekamilika kila mtu ana mapungufu. Sio unafumania mara moja basi unaacha au unaona msg kwenye simu unamuacha oooho utabadilisha wapenzi kama nguo hadi utakoma

Dah, unatumia ule msemo wa kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa?
Kwenye mapenzi mnatakiwa muheshimiane na kujaliana mtu unayemfumania hakuheshimu wala hakujali huyo.
 
Wakiwa wengi sana imba eeny, meeny, miny, moe

Eeny meeny miney mo,
Catch a tigger by his toe;
If he hollers, let him go,
Eeny meeny miney mo.
 
Mi napenda mahusiano magumu maana yanachallenge za kutosha na unakua na akili zaidi...loading error...
 
Duh! Ama kweli kuna watu mmejitoa moyo wa nyama na kujipachika moyo wa chuma yaani ufumanie halafu upotezee? Huko ni kujidanganya na usiombe ajue kwamba we ni leisure affair kiasi hicho,lazima atatake advantage atakuja na kali zaidi kama alifumaniwa kwa bahati mbaya basi next time atafumaniwa kwa makusudi!
 
Jaman hakuna mahusiano ya malaika vikwazo lazima hata mtu hajafanya ila vielelezo vikaonyesha amefanya.
 
mmmmh ndugu kwaio nikae na kinyongo kisa???? naogopa kubadilisha mpenzi??? thubutu ntabadilisha tu
 
Back
Top Bottom