Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu ngoja niende shortcut. Ni hivi nina dada yangu amemaliza form six ni lazima ni kiri ni mrembo na mpole sana, sasa juzi kuna mtu alinitonya kuwa kuna majamaa wanamfatilia dadangu yani...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
katika siku ambazo huwa najisikia furaha kwangu ni kila tarehe ya 14 mwez wa pili. Kw kuwa huwa napata zawadi nyingi sana siku kama hyo. Huwa najiandaa kupata zawad zaidi kwa kuwa ndio siku ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni tangazo la biashara linalooneshwa kwenye tv na linaibua hisia za mahusiano kati ya mume na mke, na ndio maana naweka hii thread hapa na si penginepo. Maudhui ya tangazo yako hivi: Mume...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Ninavyoamini mimi, kama vipo vitu ambavyo vinaweza kumpa ufahari wa maisha yote mwanaume alie rijali kutoka kwenye mahusiano na kiumbe mwenzake mwenye jinsia ya kike mojawapo ya vitu hivyo, Ni...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Salaam ndugu zanguni wa jukwaa pendwa la MMU, kuna hili swala linanitatiza sana kuhusu familia zetu za kiswahili, Kwa mfano: katika familia yenu mmezaliwa watoto wanne na mnapenda sana,Mungu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Hivi wadau hawa mabinti sijui wameona ndo habari ya mjini au mimi nina mkosi wa kukutana nao, unamtongoza , anakukubalia vizuri lakini hamjapanga hata mipango ya kufunuana...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea. Anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna kautafiti nimefanya nikagundua kwenye mahusiano kuna mambo mengi ikiwemo kuchepuka. Cha kushangaza wanawake wengi pindi wafumaniapo waume zao utamwona anakurupuka na kumvagaa mke/binti anaye...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nisaidie hili : KUNA BWANA 1 MKAZI WA UNGUJA, ILA yupo London akawaagiza nduguze wamuolee MKE, wakamuolea. Jamaa akaja Unguja Ili kukutana na MKEWE. Alipofika air port zanzbar kabla...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Basi leo asubuhi nimemuona mrembo mzuri masikini hata hawezi kugombania gari, nikaona hapa hapa ndio pa kuchukua ujiko! Nikapanda fasta nikawahi siti ya watu wawili halafu nikakaa katikati ili...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Girls, is it worth being a second wife? Girls today are getting married for all sorts of reasons, some are pressure from society for them to get married while others are money, etc, due to these...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nini huwa kinawajia vichwani mwenu pale mtoto wako wa kiume anapokutambulisha mchumba ambaye wewe hujapendelea? Ni kwanini nyie ndio huwa mnakuwa na vikwazo kuliko kina baba? Akiwa ni binti yako...
5 Reactions
110 Replies
10K Views
Wadau...kwema? From story za kitaa na personal experience....mi nahitaji kujua what really goes on in the ladies minds wanapokua wanakataa gegedo. Anakuja fresh kabisa, dressed, sprayed and...
0 Reactions
262 Replies
23K Views
Kwa wale wenye hisia za kupenda au kupendwa, wanaume hawapendi hila wanatamani ndio maana utasikia ninatafuta mwenza, natafuta jiko. Ile kuishi pamoja kama mke na Mme ni mazoea ya kutimiziana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeshuhudia kituko. Sidhani kama naweza kukiona/kukishuhudia tena. Leo Nimesafiri na bint tukiwa siti jirani, da...! ni mrembo si kwa sura tu, bali hata mavazi yake. Anasitahili kuitwa mrembo...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
  • Closed
Wana MMU, Wengi wetu hasa wale ambao tumejiunga kitambo tumekuwa tukilalamika mara kwa mara juu ya Jukwaa hili letu Pendwa la MMU Kuzorota kila siku zinapoenda. Members mbali mbali wamerusha...
56 Reactions
343 Replies
41K Views
Ni kawaida siku hizi kabla ya ndoa wapenzi kuishi pamoja. Kuna binti ambaye wakati tunaanza mahusiano nimemkuta anaishi katika chumba kimoja cha kupanga kutokana na ujauzito na hatimaye mtoto...
0 Reactions
111 Replies
10K Views
Habari zenu wana MMU. Natumaini mu wazima wa afya leo ningependa kujua juu ya uchumba kati ya mwanamke na mwanaume kabla ya kuoana sababu Ukiongea na wakubwa zetu watakwambia uchumba wetu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnipe mawazo Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Je utamtambua vipi mpenzi wako kama ana mapenzi ya kweli au ya uongo/ubabaishaji?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…