Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki:
Kuna JF, hapo nikawasha 'data' na kuingia jamvini, chai sijanywa mpaka muda huu, kichwa chote cha moto. Nilibahatika kumuona alikuwa kainama, nikaona nyama kwa bahati mbaya. From then to now sipo 'okay'.
Mna nini cha kuniambia ndugu zangu? Ratiba inasema kufikia kesho mchana kila kitu kinatakiwa kiishe, mna masaa machache ya kunishauri.
Karibuni!