Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu Maswala ya kitandani hata binti wa under 20...
11 Reactions
122 Replies
4K Views
Kuna njia tulipita ndefu,zenye maumivu Makubwa na majuto, tusingependa nawewe upite huko! 1) Upo shule/ Chuo achana na issue za mapenzi,zitakupotezea focus ,kukupa stress na gharama 2) Upo mtaani...
4 Reactions
4 Replies
495 Views
Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?. Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake... Sifa za kila binti ni hizi hapa Binti wa kwanza...
11 Reactions
97 Replies
5K Views
Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea . Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k Hawa viumbe...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana...
25 Reactions
45 Replies
2K Views
Mzuka wana JF , hii ni laivu naileta kwenu toka kwa pm yangu hapa JF. ni mwenzetu wa ke tumejuana mda tu....ushauri jamaniiii Habari kaka samahan naomba unipostie ficha jina langu lakin...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa. Leo nataka niseme kitu kidogo sana. Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume? Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, Nimeona hii niulize kwenu na nitatumia mfano mmoja ulionikuta. Kwanza kabisa kipindi sijao, enzi hizo nina ubrothermen mwingi sana siku hizi nishazeeka japo under 40...
18 Reactions
58 Replies
3K Views
Ni swali nimeulizwa na mtoto wa mdofowangu wa mwisho kuzaliwa Yeye ni wa mwisho wa kike ana miaka 27, akaniuliza Aunty Penny, "Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa dyu dyu yake, (uume...
17 Reactions
153 Replies
7K Views
Sis: " Mdogowangu, zamani sisi tukiwa kwenye uchumba, kuanzjq miaka ya 80 mwisho waliishia mwaka 2010. Wanaume walikuwa wana upendo sana, walikuwa wanahudumia wachumba zao wakike au girlfriend...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
1. Mke wa mtu Kuna mstari mwembamba unaotenganisha kifo na mke mtu. Ukiwa nae ujue parapanda inalipa muda wowote 2. Mwanafunzi Hapo tunaita kuguswa mamlaka Jera miaka 30 sio mingi 3 Single...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu...
11 Reactions
415 Replies
12K Views
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa, 1. Lodge (30,000-50,000 TSH), 2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh), 3. Usafiri - Uber/bolt (20,000...
47 Reactions
165 Replies
11K Views
Uchumi bwege ni aina ya uchumi ambayo imeshika hatamu kwenye dating pool katika kizazi tulichopo. Uchumi huu umewapumbaza wanawake na kufikiri hawawajibiki na bill zao. Uwanja wa mahusiano...
16 Reactions
19 Replies
806 Views
Katoto tu kwa 2005, aiseeh
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Hbr wana JF, Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu...
40 Reactions
391 Replies
18K Views
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha. Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Uyu mrembo ni mkali sana nilimuona nikaoneshe interest nae nikaomba number akatoa ilikuwa dukani nikamcheki kumuelekeza akawa kama sitaki nataka Yaani hajatoa jibu la Moja kwa Moja ila...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kila mitego ninayoitega ninase japo bint wa kunifariji na hili life la bongo naishia kuambulia maumivu bora hata Afande Panya Magawa aliamua kuishi kama padri tu mpaka pale Mungu alipomchukua...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom