Je, 30ml ni msaliti mke wangu?

Je, 30ml ni msaliti mke wangu?

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,697
Reaction score
6,492
Habari za siku mingi wanajamvi,

Ninamuda mrefu nimepotea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza funguliwa mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu hii hazitabiriki kila mahali ni balaa.

Tuachane na siasa.

Kama kawaida yangu mi ni mtu wa mapenzi tuu tena mapenzi siasa siziwezi. Leo ninahili ninaloomba msaada wa kimawazo kwenu,

Mi ni Afisa flani hivi katika bank upande wa mikopo, ametokea binti mmoja ni (executive) kwenye taasisi flani ambapo tuliendaga mi namwenzangu kuwashawishi wakope katika bank yetu. Baada ya miezi ka mitatu akanitafuta na kuanza kuniambia anashida ya mkopo akapanga tukutane week end niliona ok haina shida tukaonana Slip way. Baada ya maongezi alionekana anaweza kupata mpaka milion 50 kwetu lakini yeye akasema atachukua 30 tu tena kwa ajili yangu nikashangaa kwanza nakumuuliza kwanini kwa ajili yangu?

Akajibu akasema alinipenda tangia siku ya kwanza tulivokutana na vile nilivokua na mshawishi kibiashara alikua anaona kama namtongoza na alivuta picha eti ndio nishakua mpenzi wake nambembeleza akagundua mimi ndie nitakua mtu sahihi maana vile alivokua anajisikia hakuwahi kujisikia hivo before. Akaongezea akasema ni vile mazingira magumu kunakufuatiliana ofisi maana si ninajua mambo ya anko magu angeweza kunibadilishia maisha zaidi ya hapo maana angenipa zaidi ya hapo kwa jinsi alivonielewa.

Pamoja na kumweleza kua nina mke hakutaka kunielewa zaidi alisema hajali kikubwa ni kubali ili nipate huo mpunga na kuahidi kunisaidia zaidi. Kwangu mimi nikiangalia hiyo ml 30 itanisaidia kufikia target yangu kazini na (incentive) yakueleweka hoja nyingine nikikubali nikachukua hiyo hela nitamweleza nini mke wangu yani nimeitoa wapi maana anajua kila chanzo cha income yangu.

Nifanyeje wadau?
 
Kua makini sana siku zote tamaa ilimponza fisi,fikiria mlikotoka na mke wako na amekuvumilia mangapi na mchango wake katk family yako,hapo wew uligeuzwa mwanamke umepigwa mistari tayari umelainika,cha msingi kabisa take care hakuna cha bure kwa maisha ya sasa,utalipa kikubwa zaidi ya unavyo fikiria,
 
Uzur hata kama utampa Mkopo haiwezekan kuingia kwenye account yako mpe Mkopo kama mteja mwengne ili utimize malengo then anza kumpotezea maana huna cha kupoteza hapo.
Milion 30 ataiweka wapi kama hujampa account number yako.
So mchezo mwepes tu huo
 
habari za siki mingi wanajamvi??

nimmuda mrefu nimepitea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza fungulia mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu hii hazitabiriki kila mahali ni balaa.

Tuachane na siasa,
kama kawaida yangu mi ni mtu wa mapenzi tuu tena mapenzi siasa siziwezi....

leo nnahili nnalo omba msaada wa kimawazo kwenu,

Mi ni Afisa flani hivi katika bank upande wa mikopo,
ametokea binti mmoja ni executive kwenye taasisi flani ambapo tuliendaga mi namwenzangu kuwashawishi wakope ktk bank yetu.....
baada ya miezi ka mitatu akanitafuta nakuanza kuniambia anashida ya mkopo akapanga tukutane week end niliona ok haina shida tukaonana slip way.......
baada ya maongezi alionekana anaweza kupata mpaka milion 50 kwetu lakini yeye akasema atachukua 30 tu tena kwa ajili yangu nikashangaa kwanza nakumuuliza kwa nn kwa ajil yangu???

akajibu akasema alinipenda tangia siku ya kwanza tulivokutana na vile nilivokua na mshawishi kibiashara alikua anaona kama namtongoza na alivuta picha et ndio nshakua mpenzi wake nambembeleza akagundua mimi ndie ntakua mtusahihi maana vile alivokua anajiskia hakuwa kujskia hivo before!!!!!!
Akaongezea akasema ni vile mazingira magumu kunakufuatiliana ofisi maana si ninajua mambo ya anko Magu angeweza kunibadilishia maisha zaid ya hapo maana angenipa zaidi ya hapo kwa jinsi alivo nielewa....

pamoja na kumweleza kua nna mke hakutaka kunielewa zaid alisema hajali kikubwa ni kubali ili nipate huo mpunga na kuahidi kunisaidia zaidi...

kwangu mimi nikiangalia hio ml 30 itanisaidia kufikia target yangu kazini na incentive yakueleweka hoja nyingine nikikubali nkachukua iyo hela ntamweleza nn mke wangu yaan nimeitoa wapi maana anajua kila chanzo cha income yangu,
Nifanyeje wadau???

Hadithi za kusadikika..
 
hii story haijabalansi kabisa ni bora ufanye mpango ukamgonge kwanza ndio urudi hapa tusaidiane jinsi ya kumuacha ila hela chukua na naamini mkeo ukimwambia umehongwa na mwanamke anaweza akakupa mbinu za kumkwepa na sio kuzirudisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzur hata kama utampa Mkopo haiwezekan kuingia kwenye account yako mpe Mkopo kama mteja mwengne ili utimize malengo then anza kumpotezea maana huna cha kupoteza hapo.
Milion 30 ataiweka wapi kama hujampa account number yako.
So mchezo mwepes tu huo
tatizo makubaliano na mimi mjini hapa mgeni nsijefanyiwa kitu mbaya kaka
 
Baba ray tumeheshimiana kwa muda mrefu saana humu Jukwaani. Ila leo naomba unishushe sanawari kabla sijafika stand. Kifodi cha leo siwezi kipanda.
ha ha ha ha ha ndo wewe nn??
 
Sasa kama umeweza kutuambia sie tulio zaidi ya milioni unashindwa kumwambia mkeo kweeli, au unatutania
 
habari za siki mingi wanajamvi??

nimmuda mrefu nimepitea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza fungulia mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu hii hazitabiriki kila mahali ni balaa.

Tuachane na siasa,
kama kawaida yangu mi ni mtu wa mapenzi tuu tena mapenzi siasa siziwezi....

leo nnahili nnalo omba msaada wa kimawazo kwenu,

Mi ni Afisa flani hivi katika bank upande wa mikopo,
ametokea binti mmoja ni executive kwenye taasisi flani ambapo tuliendaga mi namwenzangu kuwashawishi wakope ktk bank yetu.....
baada ya miezi ka mitatu akanitafuta nakuanza kuniambia anashida ya mkopo akapanga tukutane week end niliona ok haina shida tukaonana slip way.......
baada ya maongezi alionekana anaweza kupata mpaka milion 50 kwetu lakini yeye akasema atachukua 30 tu tena kwa ajili yangu nikashangaa kwanza nakumuuliza kwa nn kwa ajil yangu???

akajibu akasema alinipenda tangia siku ya kwanza tulivokutana na vile nilivokua na mshawishi kibiashara alikua anaona kama namtongoza na alivuta picha et ndio nshakua mpenzi wake nambembeleza akagundua mimi ndie ntakua mtusahihi maana vile alivokua anajiskia hakuwa kujskia hivo before!!!!!!
Akaongezea akasema ni vile mazingira magumu kunakufuatiliana ofisi maana si ninajua mambo ya anko Magu angeweza kunibadilishia maisha zaid ya hapo maana angenipa zaidi ya hapo kwa jinsi alivo nielewa....

pamoja na kumweleza kua nna mke hakutaka kunielewa zaid alisema hajali kikubwa ni kubali ili nipate huo mpunga na kuahidi kunisaidia zaidi...

kwangu mimi nikiangalia hio ml 30 itanisaidia kufikia target yangu kazini na incentive yakueleweka hoja nyingine nikikubali nkachukua iyo hela ntamweleza nn mke wangu yaan nimeitoa wapi maana anajua kila chanzo cha income yangu,
Nifanyeje wadau???
Hamna kitu km hicho hususani kipindi hiki. Acha swaggaz za kishamba hizo. Isitoshe ww udenda ndo unakutoka kwa huyo mdada ss kakuambia ili kumpata anatka hicho kiasi. Na we hiyo pesa huna ndo unawaza tuu...hapo. Sema we hiyo story umeigeuza umefanya vice versa
 
Acha kushangaza kijana chukua huo mzigo mfungulie wife mradi au kama anao boresha unaweza kuwa wewe mwaminifu kumbe mkeo watu wanasimamia balaa huyo umekutana nae ukubwani piga hela hiyo
 
hii story haijabalansi kabisa ni bora ufanye mpango ukamgonge kwanza ndio urudi hapa tusaidiane jinsi ya kumuacha ila hela chukua na naamini mkeo ukimwambia umehongwa na mwanamke anaweza akakupa mbinu za kumkwepa na sio kuzirudisha
Wewe unaelekea hujatulia na utamsalit mkeo sabab ya pesa
 
Mbona huwa unamsaliti bure! sembuse hyo unalipwa!!! kama hujawahi kuchepuke achane naye asikutie majaribu ya shetani.
Ila kama unachepukaga chukua hyo hela haraka na siku ya apontment vaa condom usipige kazi mguse hovyo hovyo tu umuache njiapanda, usiwe romantic jifamye kama ni bwbwa to be atakutangaza na kukuacha! ni risking lakini inaweza kuwa mtego wa boss ili ufukuzwe kazi.
 
Back
Top Bottom