Mpee kungu. Mvinyo mwekundu agideWakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.
Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa
Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.
Msisimko kama ule wanaoupata watu wakinywa coca cola? Ongea nae huyo le mbebez vizuuri atakuelewa.Awe ananipa msisimko
Umemaliza[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Zipo njia tatu za kumfanya mwanamke awe romantic nazo ni;
1.Mpe helaKama yupo atakayekumbuka zingine ataongezea
2.Mpe mkwanja
3.Mpe mapene
4.Mpe mimbaZipo njia tatu za kumfanya mwanamke awe romantic nazo ni;
1.Mpe helaKama yupo atakayekumbuka zingine ataongezea
2.Mpe mkwanja
3.Mpe mapene
Leta picha yake tuone kama anafundishika.Wakuu demu wangu mpya, namwambia awe romantic anifurahishe Lakini imeshindikana kabisa kabisa, Ni msukuma wa Kahama.
Kiukweli kaumbika, umbo la kimiss. Lakini daaa
Aisee...
Nipeni shule hapo kidogo ya kumpa ili hata abadilike kidogo.
unajua February 12 2020 kuna nn kitatokea Mkuu?
Waoh!!Hujampagawisha bado.
Mpagawishe u-romantic utakuja automatically.
Demu wangu wa sasa tulipoanza rltnshp alikuwa hayupo romantic kabisa, muda wote naitwa baba la baba, mara niambie wewe..... Lkn cheki sasa hivi hapa chini[emoji1541][emoji1541][emoji1541].... Ni mwendo wa my hubby, my everything[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumia akili kijana, mapenzi upofu na akili ndio macho yake.
View attachment 1181404