Wanaume nipeni ushauri hapa, nioe kwanza au nimpe mimba?

Wanaume nipeni ushauri hapa, nioe kwanza au nimpe mimba?

Kama umedhamiria kumuoa, shake well before use!!
Haya mambo ya kuingia kwenye ndoa ndio mnaanza kuhangaika kwa waganga, hospitali kutafuta mtoto Ni kusumbuana tu.
Inatakiwa ukiona bila bila kila mtu anaanza usawa wake!!

Hakika mkuu
 
Yaani unauliza kitu kinachojulikana. Kwenye ndoa hakuna warent kwamba kikizingua kinarudi dukani. Na bado hata kama kungekuwa na warent basi haitajulikana muda harisi. We chamsingi ni kukitumia ndipo ununue utakuwa umeshajihakikishia utendakazi wake. Usinunue ndo ukatumie hiyo siyo tv
We ni lini umechukua kitu dukani ukakitumia ndipo ukalipia? Usimfunze mwenzio ujinga[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom