Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvi, nikiwa kama mwanajamvi na aghalabu kidogo nimekula kula chumvi naona ni vyema kile ninachokijua hasa nishirikiane na watu wengine, kwa mantiki hiyo na kuweka maanani kuwa wengi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Binti kamaliza chuo kikuu,akapata ujauzito wa boyfriend wake .kaka mwenye mimba alienda kujitambulisha kwao lakin kutokana na tofauti ya dini hawakufikia muafaka..lakin tangu mimba ina miez mitatu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna maneno kuwa wakati unafanya tendo la ndoa inabidi uwe una mfokea mwanamke na pengine kumtukana kidogo kama ishara ya kuongeza manjonjo,ikiwa ni pamoja na kumpiga mkwara kwa maneno mfano...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Hivi kwa hali ya kawaida utajisikiaje{mwanaume} kumwona dada yako yupo nusu uchi akiwa baa na shemeji yako? Hebu na nyie wanawake hebu fungukeni huwa mnajisikiaje mnapo kuwa barabarani na umevaa...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa, Leo nimekuja kutafuta ushauri kwa ajili ya shost wangu. Huyu bibie alikua na boyfriend wake tangu chuo, walidumu miaka mitatu na wakapata kabeby. Wakijiandaa kuoana kidume...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna friend wangu anatafuta boyfriend yeye ana umri wa miaka 21 Sio bonge mrefu wastani Na pia ni rangi maji ya kunde Anae muhitaji awe ana Umri kati ya 21 adi 23 Asiwe mfupi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari, Hivi mashostito na mabestito mkikerwa na wenza/wapenzi/waume zenu mnachukua hatua gani?Una keti na kumueleza mwenza wako juu ya kero yako?Unatumia ishara kama kununa,kususa,kuzira au ndo...
17 Reactions
120 Replies
12K Views
Ni jambo la ajabu sana watu wengi wanaogopa kupima.Kupima kunasaidia mambo mengi maana mtu ukisha jua tayari unavyo inakuwa rahisi kudhibiti madhara zaidi .Jamani MSIOGOPE KUPIMA maana kama...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Amini usiamini watanzania wengi hatupendi kufanya kazi. Majuzi nilianzisha mradi na vijana wasiokuwa na kazi, ili tuunde kikundi cha kufanya kazi pamoja, nilichowaeleza vijana wale kikundi kile...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
uyu mke wangu kwao alishindikana,niliambiwa mengi saana juu yake mengine nilijionea.....alikua ni mkorofi hasa ila sio ukorofi wa kipuuzi una logic...sio mtu wa kupelekwa pelekwa au...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Jamani nimeshawahi kuwa katika uhusiano mwaka uliopita na mvulana mmoja ambaye nilimpenda sana , Lakini kuna siku aliniazima simu yake ndipo nilipoziona meseji ambazo alikuwa anachat na ex gel...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau kuna hili jambo ambalo nahisi ni kujidharirisha. Utakuta bi dada ana kwao na maisha ni mazuri tu, lakini mara baada ya kumpata kaka wakatafunana, ghafla anahamia kwa jamaa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaJF naombeni Msaada; In short nina shemeji yangu ameolewa na wamejaaliwa mtotto mmoja katika ndoa yao! Shemeji yangu huyo tayari ameshatembea na boy friends wa wadogo zake zaidi ya 6...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
JAMIIFORUM hususan watu wangu wa nguvu wana MMU napenda kuwataarifu kwamba tarehe tano june miaka mingi iliyopita ndio tarehe niliyozaliwa. so nachukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa kuiteua...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
. During the day, she will give your hair the most refined look, albeit in a makeshift saloon, but when night falls across Gaborone, Debra Ncube (not her real name) exchanges sex for money...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa some where baada ya kazi napata kinywaji na chakula pembeni yangu walikaa wasichana wanadscuss bout men. But wote walichokuwa wanachangia ni mwanaume sahihi. PERFECT men wa kuishi...
8 Reactions
85 Replies
8K Views
Mpenzi wangu ana majimaji meupe kama mtindi yananikeraje? Je ni uchafu? Nimekua nikimwambia ajisafishe hayaishi,au ni ugonjwa?
1 Reactions
105 Replies
28K Views
Wadau wajamvi hili.. Naona huku maeneo ya Kazkazini (Kilimanjaro, Arusha na Manyara) Baridi ndiyo imeanza kushika kasi. Tokea jumapili hali ni yabaridi sana... Swali, je! Mapenzi yanaweza...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI, Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:- Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
VAA VIATU KUWA NI WEWE. Unae mpenzi wako, Unampenda balaa na unaamini anakupenda pia kwani anathibitisha kwa vitendo haswaa. Siku moja wewe, shetani kakupitia na umelazimika 'kuchepuka'. Baada ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…