Mjali tumbo mimi kwa mawazo yangu, hao wanaovaa nguo za kuacha miili yao hawajiamini wala kujikubali, sheria na haki ni mwanamke kujisitiri, vaa nguo zako za heshima nawe utaheshimiwa, wadada wa sasa hivi wanaacha mno mauongo yao wazi, unakuta mdada kavaa nguo matiti yote yapo hapo nje, au kavaa blouse mgongo wote nje, jamani kwa nini kina dada mnarahisishia wanaume kukujua ulivyo mapema? Kwa nini usijisitiri akahangaika kuujua mwili wako mfano mabega, miguu, tumbo nk???? Mjali tumbo mimi ni mwanamke lakini kuna baadhi ya kina dada mavazi yao ni udhalilishaji tupu!!! Hao ni wale wasiojiamini katika uzuri wao!