Hii ni kwako wewe unayevaa pete ya ndoa na uchumba kwa wakati mmoja

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,021
156,487
Hii kasumba ya wadada au wamama kuvaa pete mbili yaani ile ya uchumba na ndoa inamaanisha nini?

Ni fashion tu au ni utaratibu uko hivyo?

Tena wengi naona wanaanza na ya ndoa halafu ya uchumba inafata juu.

Kwanini usivae pete moja tu ya ndoa maana ile ya kuwa ingagement iliisha maliza kazi yake the day unapopewa nyingie ya ndoa.

Mm nahisi tu labda sielewi, kuuliza si ujinga naomba kueleweshwa ili tusifanyage tu mambo kwa kuiga bila kujua maana.
NB:-
Kuanzia sasa anzeni na kuvaa pete za kuondoa agano la damu

Pete ya kuchoropoa mimba,

Pete ya kulala nje kabla ya ndoa,

Pete ya kuwa na mabwana lukuki kabla ya ndoa...

Ili ujumbe wenu muufikishe baraaabaraa, maana pete zimegeuzwa certificates za matukio ya ngono za zinaa.
 
Mkuu Bujibuji hizi za uchumba zihifadhiwe, au ziuzwe au zinafaa kupewa mwingine!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kama ukumbusho tu kwamba ulikuwa engaged na sasa ndoa,ni alama tu ya ukumbusho na agano mlilowekeana, lakini kama mtu hakuvishwa wakat wa uchumba si lazima kuvaa na hata kama ndoa hukuvalishwa si lazima,pete haimzuiii mtu kuchepuka,mchepuko ni tabia ya mtu tu.
 
Mkuu nadhani utaratibu mzuri tu,bora ungewasema wale wanaotoboa masikio tundu hata 4
 
Hii kasumba ya wadada au wamama kuvaa pete mbili yaani ile ya uchumba na ndoa inamaanisha nini? Ni fashion tu au ni utaratibu uko hivyo? Tena wengi naona wanaanza na ya ndoa halafu ya uchumba inafata juu. Kwanini usivae pete moja tu ya ndoa maana ile ya kuwa ingagement iliisha maliza kazi yake the day unapopewa nyingie ya ndoa.
Mm nahisi tu labda sielewi, kuuliza si ujinga naomba kueleweshwa ili tusifanyage tu mambo kwa kuiga bila kujua maana.
NB:-
Kuanzia sasa anzeni na kuvaa pete za kuondoa agano la damu
Pete ya kuchoropoa mimba,
Pete ya kulala nje kabla ya ndoa,
Pete ya kuwa na mabwana lukuki kabla ya ndoa...
Ili ujumbe wenu muufikishe baraaabaraa, maana pete zimegeuzwa certificates za matukio ya ngono za zinaa.

Its not easy
 
Hiyo ni kama ukumbusho tu kwamba ulikuwa engaged na sasa ndoa,ni alama tu ya ukumbusho na agano mlilowekeana, lakini kama mtu hakuvishwa wakat wa uchumba si lazima kuvaa na hata kama ndoa hukuvalishwa si lazima,pete haimzuiii mtu kuchepuka,mchepuko ni tabia ya mtu tu.

Swali: Kwani kuna ndoa ilowahi kufungwa kabla ya uchumba? Kama hakuna, kwani ukivaa pete ya ndoa si kila mtu atajua uliwahi kuchumbiwa?
 
Ila kweli kuna mambo mengine tunaiga bila kuelewa maana yake

Nway mo naona imekuwa fashion yi cku hiz
 
On.my side,after marriage ile pete ya uchumba nimeiunganisha na ya ndoa I mean nlichomelea kwa sonara imekua one ring,
 
Back
Top Bottom