Majibu ya swali la akinadada: Umenipendea nini?

snail

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
462
Reaction score
142
Habar wajaman!

Kijana wan kiume nimekua na mahusiano na wadada takriban ni watatu sasa, lakin swali la umenipendea nini aun kwanini umenipenda niloulizwa na wapenzi wangu wote hao limekua likinishinda na kwakweli bado cjapata jibu lake sahihi!

Nimekua nikijiuliza hivi::
nikijibu nimekupendea tabia yako atajisikia kumbe sina mvuto wa sura wala shep na muonekano mzur, nikisema nimekupendea uzuri wako nitaulizwa uzuri wa kitu gan sura au kiungo fulan, nikisema unamichezo mitamu atajifikiria kumbe me sina mvuto wa sura wala shep na muonekano mzur ila najua michezo tu, nikimwambia ye nimzur wa kiungo fulan cha mwilin wake napo atajisikia vibaya kwakua maishani hicho kiungo chaweza toweka kwa ajali au pengine kupungua ukubwa/uzur wake na asiwe na mvuto kwangu tena.

Kwakweli me hua nampenda mwanamke kwakuangalia mambo mengi na hatimae kupata ujumla wake na ndipo nafanya uamuzi, sasa hua nashindwa kusema haswa nimekupendea nini kwasababu hata nikitaja jambo moja au mawili yalonivutia kwake bado naona hayo peke yake hayatoshi kumpenda mtu! Hapa nilipo hilo swali limesharudiwa kuulizwa jana na majibu sijatoa na mtu amesusa akidai mimi simpendi sasa sijui niibuke na jibu la kusema nimempendea macho na kiuno? maana macho yake na kiuno chake ha ha haaaah!

naombeni msaada wanajamii haswa wadada kwenye swali la UMENIPENDEA NINI? au KWANINI UNANIPENDA? hua munatarajia majibu gan ili kujiridhisha kua mtu huyo anakupenda kwa dhati???
 
Mjibu nimekupendea ujumla wako, waweza ongeza vikombolezo vingine kuwa anakufanya ukamilike, pia smile yake unaku melt etc.
 
Umenifanya nicheke barabarani!Lol!
 
I see the part of you in me
I see the part of me in you
That's why I love you.
 
wewe hujui umependea nini????
mapenzi haya loo
 
nimependa makengeza yk ka unarembua kumbe nachoro
 
wewe hujui umependea nini????
mapenzi haya loo

najua ila sioni vema kutaja yote, yaani ni sawa na wewe nikulize unakwenda wapi alafu uanze kunielezea sababu ya safari yako njia utayotumia na kwanini umeamua kwenda huko! nahisi kuna majibu sahihi hawa wenzetu wanayahitaji!
 
I was dating a certain woman, kila mara nikimwambia I miss you anauliza what do you miss. Nikimjibu I miss everything, anataka niwe specific. To me that's almost impossible to me, she never came in packets rather as a package. I was missing the whole experience of being with her and that's the way LOVE should also be.
 
Kwa juujuu utamwambia sura au umbile lake maana ndivyo tunavyoviona mara tu tunapokutana na hao wapenzi. Lakini swali ni kwanini hasa huyu ambaye unakuwa umemchagua? Ana sura gani special zaidi ya wengine? au ana tabia gani zaidi ya wengine? Lazima kuna kitu ambacho hufanya umpende yule ambaye umem-identify zaidi ya mwonekano tu au tabia.

Socrates aliwahi kuuliza swali unapompenda mtu unakuwa unamaanisha nini hasa. Akasema watu huona kwanza sifa ndani ya mtu husika (nayependwa) na mpendaji hupenda kumiliki hizo sifa za anayependwa hivyo humwambia nakupenda ili azimiliki hizo sifa. Baada ya hapo ndo maana watu huwa hawapendi kabisa wapenzi wao waguswe na watu wengine.
 
Kwa nini uwe muongo kwa kutafuta madesa hapa?Just be urself.Be man enough to speak the truth.Mwambie yaliyo moyoni mwako.Akiumia asiumie at the end the truth will set both of you free
 
Nimependa ta.k.o lako lilivyobinuka unaniacha hoihoihoi hata nikikuona sauti sitoi
 
Kwa nini uwe muongo kwa kutafuta madesa hapa?Just be urself.Be man enough to speak the truth.Mwambie yaliyo moyoni mwako.Akiumia asiumie at the end the truth will set both of you free

hapana hapa co kwamba nataka kukopi majibu ya watu, nataka nijue kama kitu gan zaidi ya kumpenda anachoulizia! napatashida kuelezea ule ujumla nilouzungumzia, zaidi ya yote mimi naamini sana kwenye kumsoma mtu anavyonifanyia ili kujiridhisha kua kweli ananipenda badala ya kauli ya kusema kwa mdomo NAKUPENDA MPENZI WANGU AU NIMEKUPENDEA NYWELE ZAKO ZA KIPILIPILI! lakini kwa wadada wengi hali ni tofauti wao wanataka nakupenda sana na nimekupendea ...

Big up mkuu mtamamchungu nimeipenda sana coment yako (she never came in packets rather as a package.)
 
Habar wajaman!

Kijana wan kiume nimekua na mahusiano na wadada takriban ni watatu sasa, lakin swali la umenipendea nini aun kwanini umenipenda niloulizwa na wapenzi wangu wote hao limekua likinishinda na kwakweli bado cjapata jibu lake sahihi!

Nimekua nikijiuliza hivi::
nikijibu nimekupendea tabia yako atajisikia kumbe sina mvuto wa sura wala shep na muonekano mzur, nikisema nimekupendea uzuri wako nitaulizwa uzuri wa kitu gan sura au kiungo fulan, nikisema unamichezo mitamu atajifikiria kumbe me sina mvuto wa sura wala shep na muonekano mzur ila najua michezo tu, nikimwambia ye nimzur wa kiungo fulan cha mwilin wake napo atajisikia vibaya kwakua maishani hicho kiungo chaweza toweka kwa ajali au pengine kupungua ukubwa/uzur wake na asiwe na mvuto kwangu tena.

Kwakweli me hua nampenda mwanamke kwakuangalia mambo mengi na hatimae kupata ujumla wake na ndipo nafanya uamuzi, sasa hua nashindwa kusema haswa nimekupendea nini kwasababu hata nikitaja jambo moja au mawili yalonivutia kwake bado naona hayo peke yake hayatoshi kumpenda mtu! Hapa nilipo hilo swali limesharudiwa kuulizwa jana na majibu sijatoa na mtu amesusa akidai mimi simpendi sasa sijui niibuke na jibu la kusema nimempendea macho na kiuno? maana macho yake na kiuno chake ha ha haaaah!

naombeni msaada wanajamii haswa wadada kwenye swali la UMENIPENDEA NINI? au KWANINI UNANIPENDA? hua munatarajia majibu gan ili kujiridhisha kua mtu huyo anakupenda kwa dhati???

Weka pic yake hapa tukupe ushauri.
 
wewe hujui umependea nini????
mapenzi haya loo
mi huwa sing'atagi mdomo kaika ilo...kama nimemendea makalio namwambiaga, kama n chuchu saa sita namwambia ili ajue kuwa kama siku vikitoweka hana lake! haya mambo ya kudanganyana...ooh mi nimekupenda jumla mi huwa siyawezi! kuna demu mmoja nilimpenda kwa jinsi anavyolowanisha uwanja kunako sita kwa sita na nilimwambia ukweli...infact alifurahi na akaahidi kuilinda hali hiyoili nisimkimbie!
 
vip kama ungekua umempendea kitu ambacho yeye asinge penda kukisikia toka kwa mpenzi wake! mfano umemwambia nimekupendea unene wako uliopita kiasi au hata nimekupendea pesa zako huoni kwamba unaweza kumkosa na kujutia nafasi kwakua kweli ulikua unampenda kwa dhat au ulikua na advantages nyingine zaidi ya mapenzi!!!??

Kwakweli hawa viumbe wenzetu they are so delicate na wanahitaji kunyenyekewa ili uweze kwenda nao sawa vinginevyo unaweza toa majibu ukitaraji yatampa faraja kumbe mwenzio ana perseption/fikra tofauti (mis interpretatuions) mwishoe malumbano na mapenzi kuyumba kama co kuvunjika
 
unachosema ni sahihi ila mimi huwa napenda kuwa muwazi! kama nimependea unene wakee uliopitiliza naona kama atafarijika na kuona kuwa pamoja na umbo lake la ajabuajabu lakini kumbe kuna watu wanaomthamini na kumpenda hivyo hata vunjika moyo kabisa zaidi ya kufurahia na kujiamini zaidi!
 
ukijibu nimekupenda kwa sababu wewe ni wife material itamkosha sana
 
Back
Top Bottom