Yelo masai
New Member
- Jun 6, 2014
- 1
- 0
Amani kwenu wana MMU,
Eti nauliza kama mme au mke akitoka nje ya ndoa mwenza wake anaweza mfungulia mashitaka yoyote mbali na kudai talaka
Na pia je anaweza mshitaki yule ambaye amechepuka nae?