nyie tu na hizo tamaduni zenu ambazo hazikubali...Kwa wenzetu ilimradi umempenda sio issue kuoa mwanamke kama huyo...
Kama wewe unakatazwa usifikiri ni woteeee
Mzee kama huyu si hadi mashavu yake ya nanihii yamesinyaa...kuna nn tena hapo.
afu kijana handsome qudadadeki size yangu kabisaaaaaa lol
LOVE IS BLIND....uKIONA CHA NINI MWENZIO ANAKIFIA
Mzee kama huyu si hadi mashavu yake ya nanihii yamesinyaa...kuna nn tena hapo.
LOVE IS BLIND....uKIONA CHA NINI MWENZIO ANAKIFIA
mapenzi ya kweli ndo kila kitu age is just a word if not a number
Mzee kama huyu si hadi mashavu yake ya nanihii yamesinyaa...kuna nn tena hapo.
unataka kusema me nikizeeka kama nikiwa mjane na nnahamu nisipate wakunituliza? Nyie tuu wanaume ndio mupate mabinti ila mimi nisipate....Na ntatafuta kijana wa miaka 18
Ndo vizur yakisinyaa yanautekenya unaniiiii......teh teh
afu kijana handsome qudadadeki size yangu kabisaaaaaa lol