Kutongoza kizungu ni ngumu jamani...asikuambie mtu

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,294
2,000
Kwa kweli sikuwai kufikiria kutongoza kizungu ni ngumu hivi.......Ben jana nimeingia pasipoingilika.....binti anamwaga ngeli kama hana akili nzuri......nilijuta maana hasara niliyoipata ni kubwa kwakweli.

Aliponiacha hoi ni pale aliponiita jina langu nikafikiria labda sijui kaniambia nini vile.......yaani hiyo Benteke inavyotamkwa kwa kweli sikujua ni mimi ananiita....yaani kama anataka kuumeza ulimi wake mwenyewe na kuutapika hivi.

Mwishoni ananipa maujiko eti Ben uko cool.....kumbe ni kwamba tu sijui niongee nini.

Nilikua naitikia tu. Kha!
 
Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,091
2,000
Kuna tapeli mmoja anaitwa Ras Simba atakufundisha kidhungu siku mbili tu.

ha ha umenikumbusha tangazo lake asee sijui ni redio gani? huwa najichekea tu eti miezi 2 usipoongea anakurudishia hela khaaa!!! Kweli tapeli!
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Kwa kweli sikuwai kufikiria kutongoza kizungu ni ngumu hivi.......Ben jana nimeingia pasipoingilika.....bint anamwaga ngeli kama hana akili nzuri......nilijuta maana hasara niliyoipata ni kubwa kwakweli. Aliponiacha hoi ni pale aliponiita jina langu nikafikiria labda sijui kaniambia nini vile.......yaani hiyo Benteke inavyotamkwa kwa kweli sikujua ni mimi ananiita....yaani kama anataka kuumeza ulimi wake mwenyewe na kuutapika hivi. Mwishoni ananipa maujiko eti Ben uko cool.....kumbe ni kwamba tu sijui niongee nini. Nilikua naitikia tu. Kha!

Kizungu kwa lugha gani na wewe? kijerumani,kirusi? romania,kiingerea,spain,swedish au kipi????
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,643
2,000
Kwa kweli sikuwai kufikiria kutongoza kizungu ni ngumu hivi.......Ben jana nimeingia pasipoingilika.....binti anamwaga ngeli kama hana akili nzuri......nilijuta maana hasara niliyoipata ni kubwa kwakweli.

Aliponiacha hoi ni pale aliponiita jina langu nikafikiria labda sijui kaniambia nini vile.......yaani hiyo Benteke inavyotamkwa kwa kweli sikujua ni mimi ananiita....yaani kama anataka kuumeza ulimi wake mwenyewe na kuutapika hivi.

Mwishoni ananipa maujiko eti Ben uko cool.....kumbe ni kwamba tu sijui niongee nini.

Nilikua naitikia tu. Kha!

sema ukweli lugha ndio kikwazo kwako....kama unamudu lugha zote kiswahili na kiingereza kutongoza kwa kiingereza ni rahisi kuliko kiswahili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom